Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Njia nzuri ya kuongea na watawala wa africa wakakusikiliza ni mtutu wa bunduki full stop
Watuletee hizo hizo za kupika. Tunajua tutawapata wapi.Ukisikia wanasema kodi ilikuwa 42 B, fahamu kuwa kodi ya kweli ni zaidi ya mara 100 ya hiyo.
Kuomba data TRA siyo suluhisho. Utapewa hesabu za kupika kama wanavyofanya kwenye matokeo ya kura za uchaguzi.
Swali ni kuwa ilikuwaje kikundi cha CCM wenye sifa ya ufisadi na wizi wa kila kitu wakapewa kumiliki mgodi ambao ni raslimali ya umma wa Watanzania wote? Ni nani aliwapa?
Duh, hatari sana!!!
Trust me hakuna kitu hapo.. Sana sana wakiamua wanaweza kutoa feki documentsKatika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Makao Makuu Mpya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni 42 kwa mamlaka za Serikali tangu kuanza shughuli zake.
Kuna taarifa kuwa Kampuni ya Jitegemee inayomilikiwa na Chama cha Mapinduzi imekuwa ikifanya biashara kubwa ya Makaa ya Mawe kwa kuyachimba na kuyauza nchini kwa kiwango cha kutisha huku iliwa hailipi Kodi na tozo Stahiki inavyopaswa.
Pia kuna taarifa kuwa, fedha nyingi zinazopatikana kupitia biashara hiyo ya rasilimali za Watanzania zinakwapuliwa na Viongozi wa juu wa CCM huku Mkoa wa Ruvuma ukizidi kuwa masikini kila kukicha.
Hii ni tuhuma nzito sana juu ya Chama cha Mapinduzi. Tuhuma hizi ni uthibitisho wa Chama hiki kufuja rasilimali za Taifa kwa faida ya watu wachache huku Watanzania wengi wakizidi kuwa masikini na kukosa huduma za Msingi.
Tunaomba sasa Mamlaka ya Kodi na Te ya Madini watoke wazi watuambie Watanzania kwa vielelezo kama Kampuni hii ya Jitegemee imelipa kiasi hicho cha kodi kama ilivyodaiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi.
Tunaomba pia TRA na TUME YA MADINI watubie hesabu za uzalishaji wa Kampuni hiyo zikoje na kama zinaendana na kodi Wanayolipa.
Watanzania tuamke
No Reform No Election ✊️✌️
Watoe hizo hizo fake. Tunajua pa kuanzia.Trust me hakuna kitu hapo.. Sana sana wakiamua wanaweza kutoa feki documents
Huo mgodi ccm inatumika tu walishauuza kwa tycoon mmoja kati yaoKuna ufisadi wa kutisha unafanywa na CCM kupitia rasilimali za Taifa kule Ruvuma.
Watanzania tusilifumbie macho hili
Hao dawa Yao kuwahojo tukiwa barabarani sio humu mzeeWatoe hizo hizo fake. Tunajua pa kuanzia.
Unataka upewe taarifa huku una majibu yako kichwani kwakushutumu.Ata huyo atakayekupa hizo taarifa naye atakua fala.Inawezekana ukawa na hoja ila uwasilishaji wako uliojaa mihemko na shutuma kabla ya majibu unafanya wanaopaswa kutoa majibu wakakupuuza nakupuuza hoja yako.Utakalia kusema watanzania waamke uku wewe mwenyewe bado hujaamka.Kusema wamelipa haitoshi. Watupe uthibitisho wa hayo malipo kufanyika.
Pia watupe taarifa za kibiashara za hii Kampuni.
Nchi hii CCM wanatufanya mafala sana.
Huyu jamaa ni full drama.Yeye anafikiri kubwatuka mitandaoni bila vivid evidence kutashtua watu.Usishangae akaja kukusema huna akili kumbe yeye ndiye hana.Whoever alleges must prove. Sasa umewatuhumu hawalipi kodi na bado unataka wao wakupe ushahidi badala ya ww utuletee ushahidi unaonyesha kodi isivyolipwa ila bado unataka wao walete. Hio sio mizania sahihi ya sheria ya ushahidi. Fanya kama Mange anatuhumu alafu anaweka na risiti sio hizi taarabu unazopiga ww hapa otherwise upewe maiki ufanye siasa
Hiyo imeenda tayar kwa wazee aa chchmKatika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni 42 kwa mamlaka za Serikali tangu kuanza shughuli zake.
Kuna taarifa kuwa Kampuni ya Jitegemee inayomilikiwa na Chama cha Mapinduzi imekuwa ikifanya biashara kubwa ya Makaa ya Mawe kwa kuyachimba na kuyauza nchini kwa kiwango cha kutisha huku iliwa hailipi Kodi na tozo Stahiki inavyopaswa.
Pia kuna taarifa kuwa, fedha nyingi zinazopatikana kupitia biashara hiyo ya rasilimali za Watanzania zinakwapuliwa na Viongozi wa juu wa CCM huku Mkoa wa Ruvuma ukizidi kuwa masikini kila kukicha.
Hii ni tuhuma nzito sana juu ya Chama cha Mapinduzi. Tuhuma hizi ni uthibitisho wa Chama hiki kufuja rasilimali za Taifa kwa faida ya watu wachache huku Watanzania wengi wakizidi kuwa masikini na kukosa huduma za Msingi.
Tunaomba sasa Mamlaka ya Kodi na Te ya Madini watoke wazi watuambie Watanzania kwa vielelezo kama Kampuni hii ya Jitegemee imelipa kiasi hicho cha kodi kama ilivyodaiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi.
Tunaomba pia TRA na TUME YA MADINI watubie hesabu za uzalishaji wa Kampuni hiyo zikoje na kama zinaendana na kodi Wanayolipa.
Watanzania tuamke
No Reform No Election ✊️✌️
Kutangaza matokeo ya kura wanatangaza kama kwenu, wote wanaibiwa, kulaumuje wa Ruvuma?Na hao watu wa Ruvuma huwaambii kitu kwa CCM,
WaWanaweza kulipa kodi kweli lakini ni kodi isiyostahili kulipwa walipaswa kulipa zaidi.
Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza kuliko hilo la kodi walipataje mgodi huo?
Maana michakato ya makampuni mengine inafahamika kana hapo jirani na Jitegemee Rostam Aziz Menunuwa mgodi wa makaa ya mawe kutoka Tan coal kupitia kampuni yake ya Caspian.