Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
yaani we kenge unamuita Rais akili finyu? ModeratorWafanyabiashara Tz hawataki kulipa kodi halali, na matamshi yakukurupuka ya SSH yamewapa kibri cha kukataa kulipa kodi halali kwa uwazi kabisa, TRA wafanye nini kwa mtu anayekataa kulipa kodi kwa uwazi kabisa? SSH is naive na anaenda kuleta mgogoro mkubwa wa TRA kwa sababu akili finyu.
Kwaiyo Kama wamekwepa Kodi ulitaka TRA wasiende kufanya ukaguziNinaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana.
Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi ushugulikie hii taasisi, wanajiona miungu watu. Something must be done. Makapuni yanakamuliwa ipasavyo
Acha upotoshaji. eti matamko yamefanya mfanya biashara asilipe kodi. toka lini?Wafanyabiashara Tz hawataki kulipa kodi halali, na matamshi yakukurupuka ya SSH yamewapa kibri cha kukataa kulipa kodi halali kwa uwazi kabisa, TRA wafanye nini kwa mtu anayekataa kulipa kodi kwa uwazi kabisa? SSH is naive na anaenda kuleta mgogoro mkubwa wa TRA kwa sababu akili finyu.
Hi misukule ya dikteta sijajua ni kwann wanataka Mama nae aongoze nchi Kama alivyokuwa anaongoza dikteta magufulimtanzania1989
Wewe unaona walichokuwa wanafanya TRA ndiyo sahihi, wakati Wa utawala wa mwendazake?...
yaani we kenge unamuita Rais akili finyu? Moderator
Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana.
Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi ushugulikie hii taasisi, wanajiona miungu watu. Something must be done. Makapuni yanakamuliwa ipasavyo
Wewe si ulikuwa anti Magu wakati wote akiwa hai?mtanzania1989
Wewe unaona walichokuwa wanafanya TRA ndiyo sahihi, wakati Wa utawala wa mwendazake?...
Sasa hawa TRA tunawaonea. Wakiwa wapole tunasema Mama SSH hawa jamaa wanakuangusha, wakija kininja tunawaita majambazi.Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana...
Kodi huwa haidaiwi kwa kumwomba mlipa kodi alipe kadri anavyotaka, inadaiwa kwa kufuata sheria za kodi zilizopo. Maafisa wa kodi wanaotumia madaraka yao vibaya wasiwe kisingizio cha kuacha kutumia sheria zilizomo vitabuni; hao maafisa watafutwe na washughulikiwe kwa mujibu wa sheria lakini sheria ya kodi ibaki pale pale.mtanzania1989
Wewe unaona walichokuwa wanafanya TRA ndiyo sahihi, wakati Wa utawala wa mwendazake?...
Nimenunua simu juzi nikadai reset,jamaa wa pembeni akammaindi mwenzie eti awaulize wateja kwanza kama ni jumla au rejareja,kwa madai nimeuziwa jumla kwa simu moja hivyo no reset,tena kwa kuvimba kabisaaa na kakasirika hatari mpaka nimeogopa.Kama wameacha document inayoonyesha wamechukua hizo computa bhs ni halali kama hawaacha documents wameiba. TRA wanaruhusiwa kifanya inspection kama watahisi kuna kodi inakwepwa...