Kuhus ATCL wewe unaangalia faida kwa namba zilizomo ndani ya vitabu vya mahesabu ya ATCL, lakini huangalaii strategic advantages kwa nchi. Ukitaka shirika la ndege ambalo vitabu vyake vinaonyesha faida, basi hutakuwa na shirika lolote la ndege za abiria afrika, mashariki ya kati na asia isipokuwa Ethiopan na Emirates tu.
Why should the Ethiopian Airlines be profitable and ATCL be loss making? Why don't you borrow a leaf from them? Ukichunguza madeni wengi ya ATCL ni madeni ya kuchongwa wakati wa utawala wa KIKWETE: kwa mfano kuna deni la mabilioni la kukodisha ndege ya AIRBUS ambayo haikufanya kazi kabisa hapo kwenye shirika!!! Find out how that debt was conceived and yet the government has been servicing it unjustifiably!