TRA ni SHIDA: Wavamia Ofisi hapa Viwandani

TRA ni SHIDA: Wavamia Ofisi hapa Viwandani

Mama kasema angependa kuona tukilipa kodi halali kwa hiyari bili shurti, hajasema tukwepe Kodi au tulipe chini ya kiwango
"Maneno yangu tutekeleze hiyari kwa uaminifu mkubwa, serikali ina mamlaka ya kutumia shurti pale inapobidi"
Kupenda na ukweli wa hali halisi ni vitu tofauti ingawa vyote vina hakisi hali chanya.
Hata waliopita waliamini hivyo lakini ukweli ulikuwa tofauti na walivyofikiria.
Kwanini watu fulani wanapenda biashara ya kuuza na kusambaza sukari na biashara ya mafuta, au kwanini watu wanapoenda biashara ya usafirishaji, na kwa kwanini wasafirishaji hawapendi kutoa risiti ( stakabadhi) ya kielektroniki, ukinijibu hilo unafaa kuwa kiongozi, ukishindwa kunijibu hilo acha serikali na vyombo vyake wafanye kazi yake .
 
Nchi imejaa Wakurupukaji sana hii, sasa sijui Raisi anahusikaje na kulipa au kutolipa kodi.

Raisi kuhimiza busara itumike inaonekana ni kosa kubwa sana kwa hiyo alipaswa kuwaagiza TRA watumie nguvu na vurugu na kudhulumu.

Hii ndio inadhihirisha tulivyo na Watu wasio na uwezo kiutendaji. , kama Ofisa wa kodi na unalalamika kuwa unashindwa kukusanya kodi si upishe wapewe kazi wenye uwezo huo unang'ang'ania nini?.
Kwanza idadi ya wafanyabiashara inazidi kuongezeka, na shughuli za kununua na kuuza ni nyingi, fikiria shughuli zako za mwaka mzima , mtu wa kodi ana siku 7 as kuyapitia, na hapo umeondoa taarifa ya baadhi ya mauzo yake. Sasa unategemea hao TRA wafanye kazi yako kwa mwaka mzima na wasitumie siku 7 , kupitia mahesabu yako. Na hapo wawepo wafanya biashara zaidi ya moja..
 
Ungekua na biashara hata ya genge basi kodi unalipa baada ya kupata faida mzunguko wa biashara Uko kimya serekali inapaswa kutoa maelezo juu ya mdololo wa uchumi watueleze wamekosea wapi bila mifumo yote kwenda sawa lazima kuwe na tatizo nani ataende kulipa kodi pesa itatoka wapi?
Kodi inayoongelewa ni za mwaka gani huo uliokuwa na mdololo wa kiuchumi.
Ulisikiliza hiyo hotuba au unakurupuka toka usingizini
 
Hujui hiyo nguo kabla ya kufika hapo dukani imelipiwa kodi ngapi. Mfumo wa kodi Tanzania ni very complicated. Kama hujawahi kufanya biashara utamuona huyo dada ni mwizi.
Je unaweza kuainisha kodi zilizoko Bongo, lakini hazipo nchi nyingine.
 
Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana.

Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi ushugulikie hii taasisi, wanajiona miungu watu. Something must be done. Makapuni yanakamuliwa ipasavyo
Lipeni kodi
 
Kwani bongo ninnchi nyingine?
Kwa maelezo ya Jamaa ya SN.Barry kama yalivyo hapa chini

"Hujui hiyo nguo kabla ya kufika hapo dukani imelipiwa kodi ngapi. Mfumo wa kodi Tanzania ni very complicated. Kama hujawahi kufanya biashara utamuona huyo dada ni mwizi."
 
Watu watakapoanza kuona umuhimu / value ya kodi zao watalipa tu..., Sasa hivi return on investment ni almost nothing...
 
Wafanyabiashara Tanzania hawataki kulipa kodi halali, na matamshi yakukurupuka ya SSH yamewapa kibri cha kukataa kulipa kodi halali kwa uwazi kabisa, TRA wafanye nini kwa mtu anayekataa kulipa kodi kwa uwazi kabisa? SSH is naive na anaenda kuleta mgogoro mkubwa wa TRA kwa sababu akili finyu.
Wewe pimbi ulishawahi kufanya biashara?Au wewe ni staff wa TRA ambaye umezoea rushwa?

Kila siku post zako ni kumkejeli mama yetu. Stop it! Unakera sana!
 
Je unaweza kuainisha kodi zilizoko Bongo, lakini hazipo nchi nyingine.
Unaweza kujiuliza kwanini mfanyabiashara anatoka Dar anakwenda kununua nguo Kampala wasio na Bandari?
Umewahi kujiuliza kwanini watu wa Mbeya na Songwe wananunua mafuta Malawi au Zambia wakati hayo mafuta yameshukia Bandari ya Dar???
 
Nchi inaongozwa kwa sheria, busara ni mwanya wa rushwa, mwambie SSH busara apeleke kwenye familia yake na mume wake incase akichepuka , tunataka afuate sheria.
We kenge usiye na akili acha kumtukana mama yetu. Mama yetu anaongoza nchi kwa kuzingatia misingi ya haki na sheria siyo kama yule dikteta baba yako aliyekuwa anatutawala kama ng'ombe wake.
 
Kwa maelezo ya Jamaa ya SN.Barry kama yalivyo hapa chini

"Hujui hiyo nguo kabla ya kufika hapo dukani imelipiwa kodi ngapi. Mfumo wa kodi Tanzania ni very complicated. Kama hujawahi kufanya biashara utamuona huyo dada ni mwizi."
Nafanya biashara mkuu

Lipeni kodi
 
Mtu akivamiwa ujuwe njia zote za kistaarabu zimegonga mwamba!! Kwani wafanyabiashara wote wanavamiwa?
Hakuna mfanya biashara wa kiwango hicho atakataa akiitwa na taasisi ya Serikali, labda alikataa kutoa rushwa ndio maana wanafanya hivyo kama kumzalilisha, ila wanaharibu sura ya serekali na Nchi
 
Unaweza kujiuliza kwanini mfanyabiashara anatoka Dar anakwenda kununua nguo Kampala wasio na Bandari?
Umewahi kujiuliza kwanini watu wa Mbeya na Songwe wananunua mafuta Malawi au Zambia wakati hayo mafuta yameshukia Bandari ya Dar???
How are petrol prices calculated?

According to South African Petroleum Industry Association, the government regulates the petrol retail price. It’s changed every month on the first Wednesday of the month. The Central Energy Fund on behalf of the Department of Energy facilitates the calculation of the new price.

The petrol pump price is made up of a number of price elements and these can be divided into international and domestic elements.

There are two factors that influence the price of petrol, namely external and internal:

External factors: The exchange rate – that is the price of the dollar vs the rand.

Internal factors: These include rising prices in crude oil, transport costs, and taxes and levies.

How does the cost of fuel in South Africa compare with the rest of the world?


At the beginning of June 2018, the price of fuel rose to a record high, with petrol increasing by 82 cents and diesel by 85 cents.

When you examine how South Africa compares with 60 other countries around the world about the price of petrol, affordability and income spent on fuel, the results are both interesting and, eye opening…

How does the petrol price in South Africa, compare to the rest of the world?

The latest figures from globalpetrolprices.com show that the average price of fuel around the world is 1.17 US dollar per litre (R15.37).

According to Bloomberg data for the first quarter of 2018, South Africa ranks 20th alongside 60 other countries in terms of the price for 1 litre of petrol.

But one needs to consider that, as a general rule, richer countries have higher prices whereas the poorer countries (and those that produce oil) have significantly lower prices. The only exception is the US, which has an advanced economy, but low fuel prices. The difference in pricing is due to each country’s taxes and subsidies for fuel so basically, we all pay the same for fuel on the international market, but then decide to impose different taxes.

According to globalpetrolprices.com, the country with the cheapest petrol price is Venezuela, ranked first, with a petrol cost of 13 cents per litre. Iran is second with a petrol price of R3.94 per litre. On this list, which lists 167 countries, South Africa is sitting at number 90.

Hong Kong, an autonomous territory in south eastern China, is ranked second to last, with petrol costing them R27.86.

Iceland has the planet’s most expensive petrol at R28.12 per litre.

What is aggravating to know is that many other African countries are paying far less for fuel than we do. Countries like Algeria, Nigeria, Sudan and Egypt, all pay less than R6 per litre. Other countries like Mozambique, Botswana, Ethiopia, Tunisia and even Lesotho all get their fuel cheaper, too.

We are still looking better than places like Zimbabwe though who have to fork out R18.66 per litre or petrol and if you are in Mauritius, you are looking at R19.97.
 
Hakuna mfanya biashara wa kiwango hicho atakataa akiitwa na taasisi ya Serikali, labda alikataa kutoa rushwa ndio maana wanafanya hivyo kama kumzalilisha, ila wanaharibu sura ya serekali na Nchi
Sio kweli
 
hata wakoloni walidai kodi kwa nguvu,duniani hakuna anayependa kulipa kodi
 
Hujui hiyo nguo kabla ya kufika hapo dukani imelipiwa kodi ngapi. Mfumo wa kodi Tanzania ni very complicated. Kama hujawahi kufanya biashara utamuona huyo dada ni mwizi.

Dada samahani, NAFANYA biashara na niko VAT. Nalipa PAYE,WHT,SDL na CIT. risiti natoa vizuri na Faida napata nzuri tu. Kulipa kodi ni uzalendo na moyo wa mtu bhs. Alokwambia kutoa risiti kuna mfirisisha mfsnyabiashara ni nani??

Usipotoa risiti unaficha mauzo yako mfano kama mauzo yako halali ni mill100 usipotoa risiti let say kwenye mashine yakaonekana 20m kumbuka kwenye makadirio utakadiriwa kwenye hio 20m, so unakua umekwepa kodi kwenye 80m ya mauzo yalobaki.

Mfanyabiashara yuko tayar atengeneze kitabu cha uongo hadi kwa 5mill ili akwepe kodi tu ambapo unakuta kodi anayokwepa ni 3m tu[emoji23][emoji23] aiseee[emoji119].

Dada nimefanya kazi kwenye audit firm kubwa sana hapa nchin na nmewahudumia taxpayer wa kariakoo, ilala na kinondoni na ni wakubwa. Hao jamaa sio hawapati faida wanapata sana kulipa kodi ni uzalendo tuu.

Elimu inahitajika sana.... na TRA wabadili mifumo yao itawasaidia
 
Huu wimbo wa kulipa kodi bila shuruti hauna mwitikiaji. Waulize wanaolipa kodi wakuambie kama kinachowasukjm0

Asiyelipa kodi ni jambazi! Tusimung'unye maneno katjka hili! Anafanya serikali ishindwe kutimiza majukumu yake ya kuwahudumia watanzania!! Kwa hiyo akivamiwa ka a jambazi ni sahihi kabisa!
Huna hoja kalale mzee
 
Wafanyabiashara Tanzania hawataki kulipa kodi halali, na matamshi yakukurupuka ya SSH yamewapa kibri cha kukataa kulipa kodi halali kwa uwazi kabisa, TRA wafanye nini kwa mtu anayekataa kulipa kodi kwa uwazi kabisa? SSH is naive na anaenda kuleta mgogoro mkubwa wa TRA kwa sababu akili finyu.
Ukiona wamekuja ujue hapo pana janja janja zisizo za kawaida....
DATA BASE ZA ULIPAJI KODI ZA MAKAMPUNI ZIPO PAMOJA NA VIWANGO VILIVYOKUWA VINAPATIKANA AU COLLECTED SASA LEO HII GHAFLA KAMPUNI INATAKA KUANZA KULIPA ROBO YA KILICHOKUWA KIKILIPWA...! NI LAZIMA UTAFUATWA TU....!
 
Back
Top Bottom