Theodora
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 806
- 584
Kwa sababu wafanyabiashara wamekua untouchable, makampuni ndio sasa hivi victims....mbona huu utaratibu wametumia kwa makampuni mengi. Wanaenda hadi kwenye server za makampuni na pia kubeba hadi hard drives za top management.Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana.
Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi ushugulikie hii taasisi, wanajiona miungu watu. Something must be done. Makapuni yanakamuliwa ipasavyo
Halafu 3-6 months wanarudi na barua ya kudaiwa kodi.