Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Mzee kuna namba za TRA unapiga chap wanakuja, tena TRA wanavoogopeka kuliko hata police[emoji23][emoji23].Nimenunua simu juzi nikadai reset,jamaa wa pembeni akammaindi mwenzie eti awaulize wateja kwanza kama ni jumla au rejareja,kwa madai nimeuziwa jumla kwa simu moja hivyo no reset,tena kwa kuvimba kabisaaa na kakasirika hatari mpaka nimeogopa...
Toa upuuzi wako, awekwe kati na shangazi yakoKwa tetesi nilizopata naskia aliwekwa kati akaambiwa bila kodi hii nchi haiendi, utaona kama kuna tamko atalitoa lolote tena. SSH kusema kodi za kuanzia 2015 nyuma zifutwe naunga mkono ila mengine awache TRA wafanye kazi, wabongo wameshindikana bila ubabe hawaendi
We msukuma, SAMIA hawezi kuongoza Nchi Kama yule ndugu yenu dikteta, mama anataka kuongoza Nchi kwa haki na busara, sio Kama yule kichaaTanzania bado kulipa kodi kwa hiari Ni shida kila mwenye Biashara anatafuta njia yake ya kulipa kodi. Tatizo Ni siasa chafu.....huku unataka fedha za kuendesha serikali na upande mwingine unawapa kiburi watoa Kodi kuwa wasinyanyaswe. Hivi mtanzania akiachwa bila kukumbushwa atakupa lini hiyo kodi
Hii ndio Tz, Samia Suluhu Hassan amekurupuka kutoa matamko kuhusu kodi, mtu halipi kodi kwa maksudi unambembeleza ili iwaje? Nchi zilizoendelea hilo ni kosa la kwenda jela kabisa, sasa hapa tuna mama huruma ambaye analea watu wasilipi kodi, kwa akili yake hayo ndio maendeleo.Kama wameacha document inayoonyesha wamechukua hizo computa bhs ni halali kama hawaacha documents wameiba. TRA wanaruhusiwa kifanya inspection kama watahisi kuna kodi inakwepwa...
Nchi inaongozwa kwa sheria, busara ni mwanya wa rushwa, mwambie SSH busara apeleke kwenye familia yake na mume wake incase akichepuka , tunataka afuate sheria.We msukuma, SAMIA hawezi kuongoza Nchi Kama yule ndugu yenu dikteta, mama anataka kuongoza Nchi kwa haki na busara, sio Kama yule kichaa
We msukuma uho ushauri kampe bwanako,..Nchi inaongozwa kwa sheria, busara ni mwanya wa rushwa, mwambie SSH busara apeleke kwenye familia yake na mume wake incase akichepuka , tunataka afuate sheria.
Uongo hautakusaidia kituWafanyabiashara Tz hawataki kulipa kodi halali, na matamshi yakukurupuka ya SSH yamewapa kibri cha kukataa kulipa kodi halali kwa uwazi kabisa, TRA wafanye nini kwa mtu anayekataa kulipa kodi kwa uwazi kabisa? SSH is naive na anaenda kuleta mgogoro mkubwa wa TRA kwa sababu akili finyu.
Mwambieni mama huruma tunataka afuate sheria, busara atumie kwenye cases za mitaala za mume wake, nchi inaongozwa kwa sheria.We msukuma uho ushauri kampe bwanako,..
Kaungane na Gwajima ametangulia chattle kumfufua mungu wenu
Mfumo wa kodi pia unashida nenda bandarini uone cantener inatandikwa ushuru mkubwa kuzidi garama za manunuzi mzigo ukiingia mtaanani ukinunua mtu wa pili watu hadi wanne kila moja anachajiwa kodi angalia gari ushuru unazidi garama za manunuzi na usafiri TRA wanapiga hela kuzi hata Toyota Mitsubishi mfumo wakodi ufumuliwe unaumiza wananchi na kudumaza uchumi fatilia.Ingawa TRA approach yao ni ya kibabe lakini sisi waTanzania tunajulikana hatuna utaratibu wa kufanya mambo kwa hiyari........kama uliwahi hata mkusanya ushuru wa soko utaelewa hili.......ku deal na waTanzania ni kipawa sana...
Asante ndugu kwa mchango wako murua kabisa kwa pamoja tunajenga taifa letu.Mfumo wa kodi pia unashida nenda bandari uone cantener inatandikwa ushuru mkubwa kuzidi garama za manunuzi mzigo ukiingia mtaanani ukinunua mtu wa pili watu hadi wanne kila moja anachajiwa kodi angalia gari...
Ni kweli hizi tabia zipo sana lakini tujiulize kwanini sisi zaidi? kuna mawili TRA mfumo wao wakodi ni wakizamani hauna uhalisia mbona hatusukii haya nchi zingine.Kama wameacha document inayoonyesha wamechukua hizo computa bhs ni halali kama hawaacha documents wameiba. TRA wanaruhusiwa kifanya inspection kama watahisi kuna kodi inakwepwa...
Wafanyabiashara Tz hawataki kulipa kodi halali, na matamshi yakukurupuka ya SSH yamewapa kibri cha kukataa kulipa kodi halali kwa uwazi kabisa, TRA wafanye nini kwa mtu anayekataa kulipa kodi kwa uwazi kabisa? SSH is naive na anaenda kuleta mgogoro mkubwa wa TRA kwa sababu akili finyu.
Wafanyabiashara Tz hawataki kulipa kodi halali, na matamshi yakukurupuka ya SSH yamewapa kibri cha kukataa kulipa kodi halali kwa uwazi kabisa, TRA wafanye nini kwa mtu anayekataa kulipa kodi kwa uwazi kabisa? SSH is naive na anaenda kuleta mgogoro mkubwa wa TRA kwa sababu akili finyu.
Wafanyabiashara wa Tz, kulipa kodi stahiki kwao ni sio halali, halali kwao ni kulipa kodi pungufu, ujinga ni kuona kiongozi mkubwa kama Rais na yeye anademka kucheza ngoma ya kushangilia wizi, Kkoo mtu kwa mwaka anaingiza faida ya 150m ila anataka kulipa kodi kwa mwaka 5m (3% ) wakati mfanyakazi wa mshahara mkubwa anapigwa PAYE ya almost 30%, na Rais mkurupukaji na yeye anashangilia tu huu ujinga.Shida walipa kodi nao si wastaarabu, ndiyo maana TRA wanakuja kwa kuvamia. Walipakodi waachane na maneno ya wanasiasa walipe kodi kabla ya kuvamiwa
Wacha upumbavu wewe! Hivi mtakubali lini kwamba jiwe limeondoka jumla?Wafanyabiashara Tz hawataki kulipa kodi halali, na matamshi yakukurupuka ya SSH yamewapa kibri cha kukataa kulipa kodi halali kwa uwazi kabisa, TRA wafanye nini kwa mtu anayekataa kulipa kodi kwa uwazi kabisa? SSH is naive na anaenda kuleta mgogoro mkubwa wa TRA kwa sababu akili finyu.