Kwa sababu wafanyabiashara wamekua untouchable, makampuni ndio sasa hivi victims....mbona huu utaratibu wametumia kwa makampuni mengi. Wanaenda hadi kwenye server za makampuni na pia kubeba hadi hard drives za top management.Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana.
Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi ushugulikie hii taasisi, wanajiona miungu watu. Something must be done. Makapuni yanakamuliwa ipasavyo
TRA bado wanaishi enzi ya shujaaNinaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana.
Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi ushugulikie hii taasisi, wanajiona miungu watu. Something must be done. Makapuni yanakamuliwa ipasavyo
Walizoeshwa hivyo na jiweTRA wanafanya kazi kwa kutumia Manguvu badala ya Akili
Dikteta wenu kailetea jeuri covid19, hatimae ikatikisa kibiriti cha kwenye moyo wake akavuta mazima,Mwambieni mama huruma tunataka afuate sheria, busara atumie kwenye cases za mitaala za mume wake, nchi inaongozwa kwa sheria.
Wafanyabiashara wana shida na TRA pia wana shida kwenye hili la kodi.fanya utafiti utajuaKama wameacha document inayoonyesha wamechukua hizo computa bhs ni halali kama hawaacha documents wameiba. TRA wanaruhusiwa kifanya inspection kama watahisi kuna kodi inakwepwa.
Ila tuwe wa kweli wa Tz hatuna moyo wa kulipa kodi, last week nimeenda kununua nguo kariakoo za thamani ya 420,000 kwa dada mmoja hv. Nimeomba risiti akawa mgum kutoa ile kukomaaa akanipa ya laki1 akasema ya njiani, nikamwuliza kwanini unafanya hivo si nmekupa cash taslimu kwanini usinipe risit yangu niende?
Akawa hana point bhs tu yan anaona kutotoa risit ni kama ujanja hivi, baada ya kukomaa sana nikamwambia napiga simu TRA waje ndo akatoa risit ya amount ilobaki.
Kweli nikaamini wafanya biashara ndo wanashida na sio TRA. Imagine mtu anagoma kukupa risit na umelipa cash akipewa adhabu analalamika.
Hayo ndo maisha yetu na ndiyo maana wafanyabiasgara wengi walimchukia JPM cos hakuwa na simile kwenye isssue ya Kodi hutaki funga duka. Ni bora kuwa na wafanyabiashara 10 wanaolipa kodi kuliko kuwa na 100 ambapo kumi tu ndo wanalipa kodi.Kama wameacha document inayoonyesha wamechukua hizo computa bhs ni halali kama hawaacha documents wameiba. TRA wanaruhusiwa kifanya inspection kama watahisi kuna kodi inakwepwa.
Ila tuwe wa kweli wa Tz hatuna moyo wa kulipa kodi, last week nimeenda kununua nguo kariakoo za thamani ya 420,000 kwa dada mmoja hv. Nimeomba risiti akawa mgum kutoa ile kukomaaa akanipa ya laki1 akasema ya njiani, nikamwuliza kwanini unafanya hivo si nmekupa cash taslimu kwanini usinipe risit yangu niende?
Akawa hana point bhs tu yan anaona kutotoa risit ni kama ujanja hivi, baada ya kukomaa sana nikamwambia napiga simu TRA waje ndo akatoa risit ya amount ilobaki.
Kweli nikaamini wafanya biashara ndo wanashida na sio TRA. Imagine mtu anagoma kukupa risit na umelipa cash akipewa adhabu analalamika.
Kama mapato yameshuka ndio maana hatutangaziwi, Mama nahisi kawashauri warudi kwenye Plan A ya JPM. Hata hapa Jijini Mwanza operations za TRA zimepamba moto!Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana.
Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi ushugulikie hii taasisi, wanajiona miungu watu. Something must be done. Makapuni yanakamuliwa ipasavyo
Ni nchi gani wanadai kodi kwa kistaarabu na wameendelea?mtanzania1989
Wewe unaona walichokuwa wanafanya TRA ndiyo sahihi, wakati Wa utawala wa mwendazake?
Mimi naunga mkono kauli ya Rais wetu, mama Samia Suluhu Hassan, aliyowaambia hao TRA kuwa wadai kodi kwa ustaatabu na siyo kwa kutumia mabavu.
Hivi unaona njia za kufunga account za wafanyibiashara ndiyo sahihi?
Sasa ukishafunga account ya mfanyibiadhara huyo, hivi hiyo kodi utaendekea kuipata?
Inabidi hao TRA watumie akili kidogo na siyo kutumia mabavu, ambayo ndiyo ilikuwa msingi wa ufanyaji kazi chini ya utawala wa mwendazake!
My friend mimi ni mfanya biashara na tatizo kubwa ni kuwa wafanyabiashara wengi hawana elimu ya kodi.Kama wameacha document inayoonyesha wamechukua hizo computa bhs ni halali kama hawaacha documents wameiba. TRA wanaruhusiwa kifanya inspection kama watahisi kuna kodi inakwepwa.
Ila tuwe wa kweli wa Tz hatuna moyo wa kulipa kodi, last week nimeenda kununua nguo kariakoo za thamani ya 420,000 kwa dada mmoja hv. Nimeomba risiti akawa mgum kutoa ile kukomaaa akanipa ya laki1 akasema ya njiani, nikamwuliza kwanini unafanya hivo si nmekupa cash taslimu kwanini usinipe risit yangu niende?
Akawa hana point bhs tu yan anaona kutotoa risit ni kama ujanja hivi, baada ya kukomaa sana nikamwambia napiga simu TRA waje ndo akatoa risit ya amount ilobaki.
Kweli nikaamini wafanya biashara ndo wanashida na sio TRA. Imagine mtu anagoma kukupa risit na umelipa cash akipewa adhabu analalamika.
Tuma PichaNinaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana.
Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi ushugulikie hii taasisi, wanajiona miungu watu. Something must be done. Makapuni yanakamuliwa ipasavyo
Kodi huwa haidaiwi kwa kumwomba mlipa kodi alipe kadri anavyotaka, inadaiwa kwa kufuata sheria za kodi zilizopo. Maafisa wa kodi wanaotumia madaraka yao vibaya wasiwe kisingizio cha kuacha kutumia sheria zilizomo vitabuni; hao maafisa watafutwe na washughulikiwe kwa mujibu wa sheria lakini sheria ya kodi ibaki pale pale.
Waliokaa nchi za wenzetu walioendelea nadhani watagundua kuwa kwa kwenye ulipaji kodi serikali huwa haibembelezi kabisa. Pamoja na kukufunga, wanaweza kukamata account zako za benki na vile vile wanaweza kusimamisha mshahara wako uwe unaingia serikalini moja kwa moja kulipia deni ulilokwepa.
Mwulizeni mwenzenu Wesley Snipes au Lauryn Hill au Chuck Berry waliopelekwa kunakohusika kwa mapumziko marefu kwa sababu ya kukwepa kodi.
By nature, serikali ni chombo cha mabavu; serikali inayofanya kazi kwa kubembeleza siyo serikali, bali ni chama cha siasa.
Yaani hawa watu wanajiona sana baada ya kukabidhiwa hiyo dhamana. Kuna mfanyabiashara ameuliwa wiki iliyopita na mimi nawahusisha na kifo chake. Huyo bwana kachukua mil nane benk siikumbuki jina akaenda kudeposit CRDB akakuta akaunti yake imefungwa. Akatoka na hizo hela na alipofika nje majambazi wamempiga risasi na kutokomea na bahasha aliyokuwa ameishika ikiwa na milioni nne. Hivi akaunti ingekuwa haijafungwa angeuwawa? Yaani kumbe bado wanafunga akaunti za watu!!!! Ipo siku!!!!Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana.
Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi ushugulikie hii taasisi, wanajiona miungu watu. Something must be done. Makapuni yanakamuliwa ipasavyo
Kinacholalamikiwa ni style wanayotumia siyo wasidai na kuenforce kodi. Anayekwepa kulipa siku zote anakula nao. Wafanyabiashara wakichoka kuwapa hizo hela ndiyo wanajifanya mafia na kutumia mabavu. Wasingekula nao mbona ukwepaji usingekuwepo!!!!Wamekwepa kodi kina Messi wa barcelona na Christian Ronaldo enzi yupo Madrid,na wakadakwa na kulazimisha kulipa sembuse Hawa viwanda vya wahindi wakwepa kodi!
Kabisa mkuu, tena hizi kodi wanazodai kihuni na kimafia wananchi wa kawaida hatuzifaidi kabisa. Zinaishia kwa wanasiasa tu, posho zao, mishahara yao, wakistaafu wanajengewa nyumba na marupurupu kibao!!! Yaani we acha tu!!!Samahani kwa kukujibu rude
Lakini huko unaposema kodi inaonekana kwenye maisha ya watu wao siyo huku hao TRA wanakuja kama wavamizi bado kodi inachezewa na watu wachache na familia zao
Na wengi wanao sema na kushupaza shingo sijui TRA wapo sahihi ujue hata hana uwekezaji mdogo tu kuanzia hata kibanda cha mini-supermarket ya kimtaa
Tusi copy tu ya ulaya wale wana nidhamu hata kwa matumizi ya kodi inayokusanywa huku wanasiasa /watumishi wa Umma wanachukua kutukoga hizo kodi kwa kugawa ovyo pesa za wananchi na kuwa na vimada kila pembe nk
Jibu lako lina contradiction kidogo. Tumekopi political na governement systems za ulaya. Usipoelewa hilo basi huwezi kuendelea na mjadala huu.Serikali za mabababu zetu zilikuwa za ukoo; kwa mfano ukoo wa mtemi Milambo ndio uliokuwa unatawala eneo lote la unyanyembe. Tukakopi kutoka ulaya kuwa kuwa tuwe tunachagua viongozi wetu. Jadi yetu ilikuwa ni kuwa amri ya mtawala ndiyo sheria, tukasema kuwa hapana, tutajitungia sheria sisis wenyewe ila mtawala atazitekeleza tu, hiyo yote tuliiga kutoka Ulaya. Sasa ni nini unachotaka kuiga na kuacha kuiga kutoka ulaya?Samahani kwa kukujibu rude
Lakini huko unaposema kodi inaonekana kwenye maisha ya watu wao siyo huku hao TRA wanakuja kama wavamizi bado kodi inachezewa na watu wachache na familia zao
Na wengi wanao sema na kushupaza shingo sijui TRA wapo sahihi ujue hata hana uwekezaji mdogo tu kuanzia hata kibanda cha mini-supermarket ya kimtaa
Tusi copy tu ya ulaya wale wana nidhamu hata kwa matumizi ya kodi inayokusanywa huku wanasiasa /watumishi wa Umma wanachukua kutukoga hizo kodi kwa kugawa ovyo pesa za wananchi na kuwa na vimada kila pembe nk
Nashauri tuanzishe mahakama ya MAFISIKODI ili atakae wahi kumpeleka mwenzie mahakamani ndiye mshindi .Hivi Tanzania tuna mahakama ya kodi?
ππππMy friend mimi ni mfanya biashara na tatizo kubwa ni kuwa wafanyabiashara wengi hawana elimu ya kodi.
Kuna kodi za aina tofauti naomba nizungumzie mbili.
Vat 18% hii analipia mlaji wa mwisho ila inakusanywa na muuzaji (mfanyabiashara)
Corporate tax 30% hii ni kodi ya faida ya kampuni. Nenda nchi yotote corporate tax utakutana nayo.
Shida inapoanzia
Wafanyabiashara anapoimport bidhaa toka china, wengi wao hutumia makampuni ya usafirishaji ambapo mfanyabiashara ataambiwa lipia dola 500 kwa cbm 1.
Mzigo ukifika anayefanya procesa zote ni yule agent na akimaliza mfanyabiashara analetewa mzigo wake kama ni dukani.
Shida inakuja hawapewi Risiti.
Sababu katika kuimport ile mizigo agent alijiandika jina lake kwa hiyo vat zililipwa kwa jina lake.
Matokeo yake huyu mfanyabiashara akiambiwa kutoa risiti na hawezi kuclaim hiyo vat ni pigo kwake
Ila kwq importer ndio faida kwake matokeo yake anakuwa anaclaim vat kubwa tra ambazo imelipwa na wafanyabiashara wadogo wa kariakoo.
Hamjawapiga picha kupata ushahidi?Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato 4. Lengo sijui ni nini, ila hii inaogopesha sana.
Hatuji tunaelekea wapi. TRA ni hida. Mama inabidi ushugulikie hii taasisi, wanajiona miungu watu. Something must be done. Makapuni yanakamuliwa ipasavyo