TRA ni SHIDA: Wavamia Ofisi hapa Viwandani


Why should the Ethiopian Airlines be profitable and ATCL be loss making? Why don't you borrow a leaf from them? Ukichunguza madeni wengi ya ATCL ni madeni ya kuchongwa wakati wa utawala wa KIKWETE: kwa mfano kuna deni la mabilioni la kukodisha ndege ya AIRBUS ambayo haikufanya kazi kabisa hapo kwenye shirika!!! Find out how that debt was conceived and yet the government has been servicing it unjustifiably!
 
We jamaa aisee

Last year Ethiopian airlines posted 500m dollars loss

 

Ethiopian Airlines posted that loss last year because of COVID-19!! But ATCL has been posting losses in the past Five years and yet the government had the stupidity to purchase new airplanes amidst a world recession!!! Imagine a government purchasing The DREAMLINER plane without having identified viable international routes!!!
 
Sijui hilo la kuchonga madeni kulikofanywa wakati wa Kikwete, ila matatizo ya ATCL yalianza kukua pale tu serikali ya Mkapa ilipoaminishwa kuwa uchumi wa nchi utapanda tu iwapo serikali itabinifshisha mashirika yake kiholelea, ambapo ATCL ikagawiwa kwa SAA kiulaini tu.

Kuhusu Ethipoian ni shirika la zamani sana na liliwahi kupitia hizi stage ambazo ATCL inapitia sasa, ilianzishwa na kusimamiwa na serikali tangu mwaka 1945 hadi mwaka 1966 ndipo likaachiwa ijiendeshe kibiashara. Ingawa baadaye serikali ya haile Mengistu Mariam aliwaingilia tena, lakini uongozi wa EAL walikuwa na msimamo wa kutotaka kuingiliwa na serikali tena mara baada ya ku-take off na kuna wakati walitishia wote kujiuzuru iwapo watalazimishwa kununua ndege kutoka urusi badala ya zile Boeing walizokuwa wamezowea. ATCL ndipo imeanza tu bado itachukua miaka mingine kama mitano hadi kumi kabla haijasimama yenyewe
 
Alafu mtu anakuambia uweke hela bank weeeeee mwisho laki 3 zingine nitajua mwenyewe
 
TRA Wana shida na wafanyabiashara Wana matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…