TRA ni wakati sasa mbadilishe Tovuti yenu iwe ya kisasa

TRA ni wakati sasa mbadilishe Tovuti yenu iwe ya kisasa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Kusema ukweli tovuti yenu ya kizamani sana. Taasisi kubwa kama yenu hampaswi kuwa na lay out ya tovuti ya kizee hivi.

tra screenshot.png
 
Ushauri huu mzuri ila mbona hii inatumuka vizuri very simple wakibadilisba itakuw kama wakivyobadilish JF. Very boring JF
 
Back
Top Bottom