welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
- Thread starter
-
- #41
Na hilo ni tatizo sana watu wanakaa maofisin na kuona mambo rahisi tu!Unavyoongea kama ni rahis vile,nyie watoto wa kishua ni tatzo,yaan umetoka shule moja kwa moja ukaingia ofisini hujui hata wanaume huko mtaani wanapambanaje
Na mkataba una namba za cm na namba ya nyumba ila unamwambia MFANYABIASHARA alipe alafu akadai kwa mwenye frem,Msitake urahis wa kupata kodi zenu kwa kumuumiza asiyehusika,mfateni mwenye jengo na siyo kumbana mfanyabiashara
Kwann wenye majengo mnawaogopa au ni baba zenu
Alafu ndiyo hao hao wanahubiri mkajiajiri huku wao wapo kwenye ajira,Msitake urahis wa kupata kodi zenu kwa kumuumiza asiyehusika,mfateni mwenye jengo na siyo kumbana mfanyabiashara
Kwann wenye majengo mnawaogopa au ni baba zenu
Jamaa anazungumizia sera za TRA zina mapungufu na katika hayo mapungufu anayeumua ni mfanya biasharaSio kila mmoja wetu anaweza kuzungumzia kodi kisa tu amepata TECNO yake Phantom au ITEL au INFINIX.
Kodi ya Zuio inalipwa na mmiliki halisi wa JENGO/FRAME/STORE yako.
Kwakuwa umelipa pango kwa mwenye Frame, hapa maana yake ni kwamba mwenye Frams ameingiza kipato hivyo ana wajibu wa kulipa kodi. So kutokana na urahisi wa Mfanyabiashara kwenda TRA basi sheria ikamtaka kuzuia 10% ya Pango aliyopaswa kumlipa mwenye frame na kuiwasilisha TRA kwa niaba ya MMILIKI.
Kama frame ni yako, basi utapeleka uthibitisho wa umiliki huo ikiwa sambamba na hati ya jengo hilo au kama imesajiliwa kwenye mfumo wa majengo wa TRA basi unasema na hukatwi kodi hiyo.
Ndugu zangu, kama hamjui kitu ni bora kumtafuta jirani yako akupe elimu sahihi, au anzisha uzi ambao utakufanya ueleweshwe na sio unafungua uzi as if unauelewa na unachokisema kumbe ni BOGAZ SIMAMA TUOMBE.
wewe afisa ubashiri ume karirishwa ndo tatizo linapo anzia hapaYes it make. Usichoelewa ni kwamba, Before kumlipa unapaswa uikate kabisa, hawezi kukataa na hiyo ndio sheria.
Umekaza ubongo tu, ni logic simple sana hii.
Fikiria Umechukua fedha, umempa mwenye frame, then mwenye frame aende TRA akalipe 10% ya fedha hiyo. Huoni umeweka mlolongo mrefu wa kikodi?
Moja ya kanuni ya kodi ni kutokuwa na mlolongo mrefu wa ulipaji wake.
Hivyo wewe unayelipia frame, kwa namna yoyote utaenda TRA kwa ajili ya makadirio ya kodi ya biashara yako, hapo sasa ndipo unabeba na pesa ya 10% ya pango ulimkata mmiliki wa frams ile ili kupunguza mlolongo usio na ulazima.
Utalipa hadi michango ya mwengehii nchi ukishaonesha una hela unatoa sehem basi kila mtu atataka kula hadi watendaji wa mitaa na wenyekiti nao wanataka
Siku ya mkutano wa PM na wafanyabiashara wa Kariakoo waliwaambia hao maafisa wa TRA kwamba wengi wakistaafu huwa wanaomba wapewe fremu KKOO ili wafanye biashara ila huwa hawamalizi mwaka wanakimbia,wanasema biashara mbaya.wewe afisa ubashiri ume karirishwa ndo tatizo linapo anzia hapa
katika hali ya kawaida una zani kuna mwenye nyumba atakua tayar kupokea kodi ya 900,000 badala ya 1M ?
TRA wanapaswa kua smart kweny njia zao za ukusanyaji wa mapato nchi zilizo endelea i.e UK suala la kodi ni la lazima kila anaepaswa kulipa kodi ana ilipa mifumo yao iko wazi na huwezi kukwepa TRA wanapaswa kujifunza kwa walio endelea lakin badala yake tunao lipa kodi ni wachache mno na mzigo wa kodi tuna endelea kushushiwa
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app