wewe afisa ubashiri ume karirishwa ndo tatizo linapo anzia hapa
katika hali ya kawaida una zani kuna mwenye nyumba atakua tayar kupokea kodi ya 900,000 badala ya 1M ?
TRA wanapaswa kua smart kweny njia zao za ukusanyaji wa mapato nchi zilizo endelea i.e UK suala la kodi ni la lazima kila anaepaswa kulipa kodi ana ilipa mifumo yao iko wazi na huwezi kukwepa TRA wanapaswa kujifunza kwa walio endelea lakin badala yake tunao lipa kodi ni wachache mno na mzigo wa kodi tuna endelea kushushiwa
Sent from my SM-G950U using
JamiiForums mobile app