TRA; Pesa za usajili mnakusanya kodi ama tumejisahau??

TRA; Pesa za usajili mnakusanya kodi ama tumejisahau??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ronaldo anadaiwa.Mabilion leohii anataka timu imlipie kha kapokea yeye timu ikalipe kodi

Swala muhimu msikimbizane na viduka mshenzi

Je huku mnakusanya kodi..Kwa wachezaji.

Naamini hizi milioni hamsini za manula 55 za Okwi..Na jumla ya kaama mil 100+ za vijana wa mbao FC waliozawadiwa tungekuwa tuna kodi kubwa tu..Na kwingineko

Nashauri tuanze kukusanya hizo pesa mapema kabla liigi haijaanza
 
Wanakusanya kodi za Wapinzani wa magufuli tu kama hata hao wachezaji ni wapinzani watadaiwa kodi
 
Back
Top Bottom