TRA Portal, ni mfumo mpya unaohitaji Elimu ya kutosha na maandalizi ya mwaka mzima

TRA Portal, ni mfumo mpya unaohitaji Elimu ya kutosha na maandalizi ya mwaka mzima

Mfumo mbona upo poa Sana nawebsite Sasa Ina mwonekano mzuri..vitu vidogo vidogo havijakaa poa leo tu unataka kubadili umiliki wa Hari wakati walitoa tangazo...subiri waset vitu vikae poa...
Ndio wafanye fasta Serikali inapoteza Kodi wiki ya pili sasa Kodi haiingizi Serikalini.

Kwenye lessen Iko poa,

Huku kwenye magari hamna mtandao.
 
Ndio maana watu wanashauri mfumo mpya upewe muda ili watu wapate elimu kuutumia sio kinacho endelea now mtandao akuna tangu ijumaa tarehe 07/02 na akuna taarifa yoyoye kwa walipa Kodi
Angalau mifumo yote ingeendelea kufanya KAZI huku Elimu ikitolewa.

Shida wamezima mtandao wa zamani na mpya haufiki mwisho.

Sasa shida ndipo inapoanzia,

Mbona kwenye kuomba tin mteja aweza omba online na hapo hapo TRA officer naye aweza fanya KAZI.
 
Kuna tatizo la EFD verification code kwa wale tuliosoma zamani
 
Back
Top Bottom