TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambieni alipe Kodi,huku sisi tunakamuliwa Kodi vilivyo
HahahaaaaKumbe kazi mnafanya mpka usiku 😃
Kamuulize hayati kwake chato...Na sheria gani inayowapa mamlaka ya kufunga account ya mtu, kabla ya kukaa nae kwanza.
Alihama manji na nchi haikuathirika yeye nani?Diamond anapanga kuhamishia kazi zake Rwanda au Kenya tuone kama itakuaje
Unaweza toa mfano wa mtu aliewahi fungiwa account yake ndani ya muda wake bila TRA kufuata processes.Kamuulize hayati kwake chato...
Yeye ndio alianzisha hii system....
Mifano yote alizikwa nayo......Unaweza toa mfano wa mtu aliewahi fungiwa account yake ndani ya muda wake bila TRA kufuata processes.
Mimi leo mchana walinipigia simu kwamba nimalize hesabu za mwaka huu mwisho kesho jumamosi 31 Dec.Sasa hivi "unit"inabana korodan kimya kimya....
Hayo ndio majibu ya tuhuma zake nyingi, huwa ya jumla jumla tu, mainly ni baseless accusations.Mifano yote alizikwa nayo......
Kuna mtu wakati ule alikuwa na thubutu ya kuleta malamiko yake kwenye media.....
Usijitoe ufahamu, wafanyabiashara walikuwa wanaishi kama wako Sobibor camp....