TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

Ndio wakaamua kuvunja na jengo?🤣🤣
Tatizo ni kwamba huwa mna ‘bias listening’ wakati sakata likiwa linaendelea. Matokeo yake mna kuwa na premise ya kujiaminisha ukweli mnaotaka nyinyi.

Sasa kama ulifuatilia sakata baada ya NHC kuwa inamdai Mbowe kodi ya zaidi ya miaka 5 nyuma, waliamua kumtoa kwa kukiuka mkataba na wakaweka wazi jengo wana mpango walikubadilishia matumizi ivyo litavunjwa wakishamtoa.

Mbowe akakata rufaa, akashindwa; mengine ni facts mnazotaka nyinyi lakini NHC waliweka wazi eneo wanalivunja kufanya uwekezaji mwingine baada ya hapo.
 
Suala la kodi ni suala la uhai wa serikali, uhai wa nchi.........huyo diamond wenu na nyie mashabiki wake msilete habari zenu za kizuchu zuchu. Halafu mwanaume unapatwa na jambo kama hili dawa ni kwenda kiume kwanza kwa wahusika ukaelewe, ukaeleweshwe na sio kukimbilia mitandaoni kulalamikalalamika. Humu yamejaa mamburura meeeengi yasiyo na kazi wala uelewa zaidi ya kutamka mimaneno ya kukera tu km hapa tunavyoanza kuona tayari wakihusisha kazi zake alizopiga na ccm.

Haya mambo ya kukimbilia mitandaoni kibwege hivi waachiwe kina wolper na kajala na issues zao za kunyanduana na harmonize.
Kuna miamba imezuiliwa zaidi ya hizo, inafuatilia kimya kimya.
 
Jichanganye tu uingie kati yao ndo utajua hujui.
Wanazuia account, utajipeleka mwenyewe, wataomba hesabu zako , zisipoeleweka jua ni kitanzi hivyo. Siku zote hufunga kama hueleweki
Watu kama nyie ndio mnaowapa hawa watu encouragement ya kuonea watu na kuvunja sheria.

Taasisi na hata watu wanaofahamu accounting practice na sheria za kodi kila siku wanawabwaga kwenye mahakama za kodi na fidia wanalipwa, hayo makampuni ya kigeni ndio kabisa wakiwacheleweshea tax overpayments returns na interest wanawalipa kama sheria inavyotaka.

Wanawaonea watu kama nyie msiojua sheria na kutaka kila mtu abariki tabia za mijizi michache ndani ya hiyo taasisi inayotafuta rushwa kwa nguvu, eti usipotii utapeli utakoma huko ni kuhalalisha tabia zao mbaya.

👋
 
Back
Top Bottom