TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

Hayo ndio majibu ya tuhuma zake nyingi, huwa ya jumla jumla tu, mainly ni baseless accusations.

Unfortunately nikishaona mtu hana hoja sina tabia ya kupoteza muda.

👋

Ila acheni uonevu, hakuna anaesema Diamond ni innocent, lakini kodi idaiwe kwa taratibu za sheria.
Hivi unajua kufunga account na kuchukua kodi ni utaratibu wa kisheria?pale unapokumbushwa kulipa kodi halafu unakaa kimya,
 
Diamond:TRA Mnanifanya kama mkimbizi katika nchi.Mmefunga akaunti zangu
TRA:Masuala ya kodi ni siri.Njoo tuyamalize sirini.
MIMI:Mbona kama sijawaelewa?Mnafanya Damage Control kwa sababu ni Diamond?Vipi hawa ambao wanakujaga ofisini kwenu sirini na bado mnawafanya wakimbizi?
 
Mm walinipigia tar 20 Mkuu jamaa alipe Kodi no excuse
Wewe ujamuelewa diamond yeye hajapinga kuhusu kulipa kodi ebu fungua hiyo video umsikilize vizuri anachodai kwanini wamemfungia account zake bila kumpa maelezo yoyote na hajapokea taarifa yoyote wewe angalau umepokea taarifa hiyo ndio hoja yake ya msingi nashangaa wewe unaamisha le
Diamond:TRA Mnanifanya kama mkimbizi katika nchi.Mmefunga akaunti zangu
TRA:Masuala ya kodi ni siri.Njoo tuyamalize sirini.
MIMI:Mbona kama sijawaelewa?Mnafanya Damage Control kwa sababu ni Diamond?Vipi hawa ambao wanakujaga ofisini kwenu sirini na bado mnawafanya wakimbizi?
Swali zuri kupitia Hili suala la Diamond naona kuna ukombozi fulani utafanyika ndani ya TRA
 
Kungekuwa hakuna sheria hiyo, bank gani ingekibali kuingilia acc za wateja wake??
Uwe unasoma mantiki ya wenzako walichoandika na kuelewa.

Nani kasema hakuna sheria? Swali ni wakati gani sheria inaruhusu kufanya ivyo.

TRA wanaweza omba bank iwape ‘bank statement’ ya kampuni kwenye kufanya zoezi lao la tax audit/investigation anytime.

Lakini uwezi kuamua tu kufunga account ya mtu anytime bila ya kuwapa wahusika muda wa kujibu queries zako au watu ambao wapo tayari kutoa ushirikiano.

Hakuna hayo mamlaka ya kujifungia tu account za watu, kuna taratibu za kufuatwa kwanza.
 
Mwambieni atulie... Asilete mambo ya Kiki na huruma Kwa wananchi.

Ataumia vibaya.

Screenshot_20221231_063819_com.instagram.android_edit_244618860699130.jpg
 
Kuna huyu mwamba nadhani naye anatakiwa kujibiwa kama Diamond.

Naomba unifundishe namna ya kuleta link nyingine kama hivi kwenye post
 
Pamoja na "Mama" kujihami mapema kwamba hataki kodi za dhulma ila kinachoendelea ni dhulma tupu.

Kuna wazee wastaafu walikuwa wanadai "mapunjo" ya mishahara yatokanayo na kupanda au kisitishiwa mishahara wakiwa kazini.

Wakapokea barua kutoka hazina ya kuwatambua na kiasi wanachodai.

Wakajaza "vendor forms" ili halmashauri zao zilipe,ajabu anayedai 2M kodi inakatwa 660K.

Hizi sheria/kanuni za kodi zilitungwa na watu wenye akili timamu kweli?

Mbona hatuendelei sasa pamoja na kukatana Kodi kubwa hivyo?
 
Tatizo ni kwamba huwa mna ‘bias listening’ wakati sakata likiwa linaendelea. Matokeo yake mna kuwa na premise ya kujiaminisha ukweli mnaotaka nyinyi.

Sasa kama ulifuatilia sakata baada ya NHC kuwa inamdai Mbowe kodi ya zaidi ya miaka 5 nyuma, waliamua kumtoa kwa kukiuka mkataba na wakaweka wazi jengo wana mpango walikubadilishia matumizi ivyo litavunjwa wakishamtoa.

Mbowe akakata rufaa, akashindwa; mengine ni facts mnazotaka nyinyi lakini NHC waliweka wazi eneo wanalivunja kufanya uwekezaji mwingine baada ya hapo.
Sawa mlamba matador wa mwendazake,tumikusikia
 
Simba, Yanga na hata TFF ziliwahi kumbwa na kadhia hii kwa nyakati tofauti...

Kodi ilipwe...
Again uwe unasoma post za watu Simba, Yanga na TFF walishakuwa na mgogoro na NHC.

Maana post yangu uliyo quote ilikuwa inaongelea sakata la Bilcanus na ofisi nyingine ya Mbowe mjini zilizokuwa zinadaiwa kodi za miaka ya nyuma.
 
Timiza wajibu wako,dai haki yako
Mbona umen'gan'gania lipa kodi nimemsikiliza diamond kwenye hiyo video vizuri wala yeye alalamiki suala la kulipa kodi kwasababu yeyemwenyewe ni mlipaji mzuri wa kodi na amekuwa wanawasiliana vizuri na kukaa pamoja na TRA ila kinamshangaza ndipo key point ambapo TRA wanatakiwa wamjibu ni kitendo Cha kumfungia account zake bila kumpa taarifa yoyote juu la Hilo suala wakati wana number zake za simu, na pia wana njia nyingi za kumpa taarifa lakini hawajafanya na amejaribu kwenda TRA baada ya kufungiwa hawajampa majibu ya kueleweka zaidi ya kuambiwa nenda kwa mtu fulani na akifika kwa huyo anarushiwa kwa mtu mwingine bila kupewa majibu yoyote hiyo ndio key point ya malalamiko ya Diamond nashangaa wewe unaamisha magoal

Mshana Jr
Demi
 
Yule bwana Kayombo amekuwa mkurugenzi wa Idara ya Elimu kwa mlipakodi kwa miaka zaidi ya 10 ila hamna anachojifunza. Wasaidizi wake nao hawajifunzi chochote, hawana update ya mabadiliko ya sheria za kodi yanayofanywa na bunge wakati wa kupitisha bajeti nk
Haieleweki hata wanafanya kazi gani ikiwa walipa kodi wengi hawajui kwa nini wanalipa kodi.
Wanajificha kwenye ule msemo, kutokujua kosa sio sababu ya kutenda kosa.
 
Watu kama nyie ndio mnaowapa hawa watu encouragement ya kuonea watu na kuvunja sheria.

Taasisi na hata watu wanaofahamu accounting practice na sheria za kodi kila siku wanawabwaga kwenye mahakama za kodi na fidia wanalipwa, hayo makampuni ya kigeni ndio kabisa wakiwacheleweshea tax overpayments returns na interest wanawalipa kama sheria inavyotaka.

Wanawaonea watu kama nyie msiojua sheria na kutaka kila mtu abariki tabia za mijizi michache ndani ya hiyo taasisi inayotafuta rushwa kwa nguvu, eti usipotii utapeli utakoma huko ni kuhalalisha tabia zao mbaya.

[emoji112]
Wa kwanza kuhalalisha tabia mbaya ni yule anayekiuka utaratibu. Mtu usilipe kodi halafu ubembelezwe tu ili iweje.
Atimize wajibu wake kisha adai haki yake
 
Wa kwanza kuhalalisha tabia mbaya ni yule anayekiuka utaratibu. Mtu usilipe kodi halafu ubembelezwe tu ili iweje.
Atimize wajibu wake kisha adai haki yake
Inategemea weledi wa account wako pia kwenye sheria, anavyoheshimu accounting practice za TRA na jinsi anavyotunza document.

So wakija unaweza kuwa na makosa madogo ya kitaratibu, kama cut off date ya mapato au huna evidence ya bank entries au chochote to do with ledgers. Unapewa muda uweke mambo sawa, usipotii; kama ni swala la tax underpayment hiyo case inaweza geuzwa ya tax evasion or fraud; hapo sasa ndio account zinaweza fungwa.

Lakini ukurupuki tu na kujiamulia kufunga account za watu especially walio tayari kutoa ushirikiano.
 
Back
Top Bottom