TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

Hata sheria ya kodi iliyokiukwa ni siri.

Hapa TRA wangeweka bayana sheria mfano wale walipa kodi ambao hawakudai risiti za mashine walituweka wazi TRA umma ukajifunza.

Tunaelewa masuala ya benki gani , aina ya akaunti ya benki, account number ya benki ni taarifa za siri za mlipakodi hizo zinafaa TRA wasi share na umma kama walivyosema ktk taarifa kwa umma .

Hii ya TRA kuficha ni sheria gani imevunjwa haikubaliki, TRA waje kutoa elimu sheria na kifungu kipi kinabana ili walipakodi tupate ufahamu wa kodi na itasaidia TRA kutokumbana na idadi kubwa ya wasiolipa kodi stahiki.
 
Hata sheria ya kodi iliyokiukwa ni siri.

Hapa TRA wangeweka bayana sheria mfano wale walipa kodi ambao hawakudai risiti za mashine walituweka wazi TRA umma ukajifunza.

Tunaelewa masuala ya benki gani , aina ya akaunti ya benki, account number ya benki ni taarifa za siri za mlipakodi hizo zinafaa TRA wasi share na umma kama walivyosema ktk taarifa kwa umma .

Hii ya TRA kuficha ni sheria gani imevunjwa haikubaliki.
Ni mapema sana kufika huko
 
Mkwepa Kodi mnamfichia Siri ya nini? Huyo ni muhalifu, ni sawa na kuficha Siri za mwizi.

Kamwaga mboga, mwageni ugali, ameichafua serikali.

Mtoe barua ya kina kuhusu taratibu zenu za kazi, maana anasema mmevamia, na anaaminisha watu hivyo.
 
Kodi gani ameficha TRA ni kama polisi au mahakama sio kila anayekanyaga pale mualifu.
 
Back
Top Bottom