johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa nini alipe kodi sasa hivi? Mbona wakati wa Magu alikuwa halipi?Yeye kikubwa alipe Kodi
Aache ujanjaujanja.
Nani kasema alikuwa halipi? Ni TRA?Kwa nini alipe kodi sasa hivi? Mbona wakati wa Magu alikuwa halipi?
Kwamba wakati wa Magu, alikua ??.Kwa nini alipe kodi sasa hivi? Mbona wakati wa Magu alikuwa halipi?
Na kila kitu ukinunua kwa mangi huko dukani ujue unaendelea kulipa kodi hata ukinunua pipi ya mwanao ujue umeshalipa kodi ya kwenye pipi !!Hahahah, wafanya biashara awapendi kilipa kodi. Wakati kamuajiriwa nakamshahara kake walaki3 kila mwezi lazima kodi ikatwe akuna kuchepuka wala nitapeleka kesho.
Asionewe mtu yeyote lakini watu ni lazima walipe kodi inayostahili kulipwa !Kwa kuwa TRA ni Member wa hapa JF tuwaambie kuwa huu ukiritimba umesababisha bandari ya Dar kukwepwa na nchi nyingi sana. Wanapitisha mizigo yao Beira Mozambique 🇲🇿. Acheni ukiritimba mnaharibu nchi.
Kabisa !Asake wa Tandale anatakiwa kuajiri wataalam wa maswala ya kodi wamsaidie hizi kazi.
Katafute hiyo sheria husika uisome, sasa unamwuliza nani. Ujinga ni wako usiwe mzigo kwa wengineNa sheria gani inayowapa mamlaka ya kufunga account ya mtu, kabla ya kukaa nae kwanza.
Katafute nchi ya kuishi, inaonekana we siyo raia. Mhalifu aitwe kwanza?Inatakiwa mtu aitwe haojiwe siyo unafunguka account hata mhusika hajui kwanini account yake imefungwa.
Hii nchi ngumu sana kuishi. Fuatane sheria
Hata kule Atalipa kodiDiamond anapanga kuhamishia kazi zake Rwanda au Kenya tuone kama itakuaje