TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

Nimeona uzi wa Nassib Abdul Diamond Platnumz akilalamika TRA kutaka kuiuwa WASAFI

Na nimesoma uzi wa TRA wakimjibu Nassib Abdul Diamond Platnumz kwamba wamemwandikia aende wakazungumze

Ambacho sijaelewa ni Je anayedaiwa Kodi kwa mujibu wa sheria ndio Account zake 5 zimefungwa na TRA?

Kuna tofauti kati ya Mo na Mohamed Enterprises

Nawatakia Mwaka Mpya mwema!
 
IMG-20221231-WA0019.jpg
 
Mwambie huyu mjinga kuwa hii ni laana ya KUMKATAA BABAYAKE MZAZI haya mazonge yatamwandama tu
 
Hahahah, wafanya biashara awapendi kilipa kodi. Wakati kamuajiriwa nakamshahara kake walaki3 kila mwezi lazima kodi ikatwe akuna kuchepuka wala nitapeleka kesho.
Na kila kitu ukinunua kwa mangi huko dukani ujue unaendelea kulipa kodi hata ukinunua pipi ya mwanao ujue umeshalipa kodi ya kwenye pipi !!
 
Hii imenikumbusha comment ya member fulani humu jana kasema,kina Diamond wamuige kakobe maana hana gari wala bank account lakini lile kanisa lake ndio kakobwe mwenyewe hivo yeye ni kanisa na kanisa ni yeye😂
 
Kwa kuwa TRA ni Member wa hapa JF tuwaambie kuwa huu ukiritimba umesababisha bandari ya Dar kukwepwa na nchi nyingi sana. Wanapitisha mizigo yao Beira Mozambique 🇲🇿. Acheni ukiritimba mnaharibu nchi.
Asionewe mtu yeyote lakini watu ni lazima walipe kodi inayostahili kulipwa !
 
Inatakiwa mtu aitwe haojiwe siyo unafunguka account hata mhusika hajui kwanini account yake imefungwa.
Hii nchi ngumu sana kuishi. Fuatane sheria
Katafute nchi ya kuishi, inaonekana we siyo raia. Mhalifu aitwe kwanza?
 
Back
Top Bottom