johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimeona uzi wa Nassib Abdul Diamond Platnumz akilalamika TRA kutaka kuiuwa WASAFI
Na nimesoma uzi wa TRA wakimjibu Nassib Abdul Diamond Platnumz kwamba wamemwandikia aende wakazungumze
Ambacho sijaelewa ni Je anayedaiwa Kodi kwa mujibu wa sheria ndio Account zake 5 zimefungwa na TRA?
Kuna tofauti kati ya Mo na Mohamed Enterprises
Nawatakia Mwaka Mpya mwema!