Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Mbaazi kilo ilifika 500Acha upumbavu.Unajua ni familia ngapi ziliathirika kuhama kwa Manji?,Alipohama Manji Dengu na mbaazi zilitupwa jalalani kwa kukosa mnunuzi.Inaonekana unahudumiwa hujui maana ya uchumi
Wafanye kama NHIF, ikifika tarehe ya kulipia unaona sms na control numberHalafu waheshimiwa, nawaomba mtupunguzie usumbufu wa kuwafuata fuata kwenye ofisi zenu. Yaani ikiwezekana tukutane mara moja tu kwa mwaka; mwezi Machi, wakati wa makadirio.
Hivi haiwezekani kabisa kuwatumia wafanyabiashara control number za malipo ya kodi kupitia simu zao?
Hivi kina sababu ya msingi kweli ya mtu kuacha shughuli zake, na kufunga safari kuja kwenye ofisi zenu, kuchukua hiyo control number? Mbona mnapenda sana urasimu? Yaani hela ni ya kwangu, lakini bado natakiwa kuja kupanga foleni, na kuwalamba miguu kwanza! Ndipo nikalipie!! Badilikeni bhana.
TRA wakikuita wakufanyie Audit lazima uwaachie Account tuKabisa,alipe kodi
Ova
SawaWametoa taarifa kwa umma
Kama kuna taratibu za kufata, swali ni je banks zina wezaje kuruhusu TRA waingilie taarifa za wateja wao na kuzifunga au ata kuchukua pesa kama malipo ya kodi? Kutaifisha nkUwe unasoma mantiki ya wenzako walichoandika na kuelewa.
Nani kasema hakuna sheria? Swali ni wakati gani sheria inaruhusu kufanya ivyo.
TRA wanaweza omba bank iwape ‘bank statement’ ya kampuni kwenye kufanya zoezi lao la tax audit/investigation anytime.
Lakini uwezi kuamua tu kufunga account ya mtu anytime bila ya kuwapa wahusika muda wa kujibu queries zako au watu ambao wapo tayari kutoa ushirikiano.
Hakuna hayo mamlaka ya kujifungia tu account za watu, kuna taratibu za kufuatwa kwanza.
Again uwe unasoma post za watu Simba, Yanga na TFF walishakuwa na mgogoro na NHC.
Maana post yangu uliyo quote ilikuwa inaongelea sakata la Bilcanus na ofisi nyingine ya Mbowe mjini zilizokuwa zinadaiwa kodi za miaka ya nyuma.
Maendeleo yapi hayo? Hovi wa Tz mbona tunakuwa na akili za kijinga hivi?Sasa alipe kodi kwa maendeleo ya taifa.
Kungekuwa hakuna sheria hiyo, bank gani ingekibali kuingilia acc za wateja wake??
Kama mahakama ambazo ni sehemu ya mhimili wa taifa zinaingiliwa kwa urahisi, seuze hutu tu benki uchwara hapa Tz?
Kumbe taarifa za.mapapa
Kama kuna taratibu za kufata, swali ni je banks zina wezaje kuruhusu TRA waingilie taarifa za wateja wao na kuzifunga au ata kuchukua pesa kama malipo ya kodi? Kutaifisha nk
Abebe na familia yake alafu uwone kma taifa litayumba wabongo bana.Diamond anapanga kuhamishia kazi zake Rwanda au Kenya tuone kama itakuaje
Unampenda mond au unapenda hela zake si uwe honest tu 🤣Haijalishi. Mi Mondi namtaka...mfikishieni salamu zangu popote alipo.
Kwani alicholalamikia ni kupingwa kulipa kodi au ukandamizaji unaofanyika TRA?Bwana nasibu apewe elimu ya mlipakodi.
Diamond analialia kitu gan wakat kutwa kusifu juhudi? Mwacheni Tena TRA kamatieni hapo hapo .KWA NINI MSITAFUTE MAZUNGUMZO NA MTU KABL HAMJAENDA KUMVAMIA AUKUVAMIA AKAUNTI ZAKE ? WHY MNAENDESHA MAMBO KIKABURU ? NYIE NI WATANZANIA MNAFANYA KAZI NA WATANZANIA MSISAHAU HILO
View attachment 2464144
Ndg kuongoza Nchi ni shughuli pevu sana. Bila kuwa kauzu lazima upoteane,ni swala la muda tu wafanyabiashara wana mbinu nyingi sana za kukwepa kodi. Ukiwachekea unapoteanaWalikuwa wanasema Meko anakwapua hela za watu na wao wanarudi mule mule. Mwenyezimungu huwa hamfichi mnafiki
Ukikaidi utapigwa tu.KWA NINI MSITAFUTE MAZUNGUMZO NA MTU KABL HAMJAENDA KUMVAMIA AUKUVAMIA AKAUNTI ZAKE ? WHY MNAENDESHA MAMBO KIKABURU ? NYIE NI WATANZANIA MNAFANYA KAZI NA WATANZANIA MSISAHAU HILO
View attachment 2464144