TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

Halafu waheshimiwa, nawaomba mtupunguzie usumbufu wa kuwafuata fuata kwenye ofisi zenu. Yaani ikiwezekana tukutane mara moja tu kwa mwaka; mwezi Machi, wakati wa makadirio.
Hivi haiwezekani kabisa kuwatumia wafanyabiashara control number za malipo ya kodi kupitia simu zao?

Hivi kina sababu ya msingi kweli ya mtu kuacha shughuli zake, na kufunga safari kuja kwenye ofisi zenu, kuchukua hiyo control number? Mbona mnapenda sana urasimu? Yaani hela ni ya kwangu, lakini bado natakiwa kuja kupanga foleni, na kuwalamba miguu kwanza! Ndipo nikalipie!! Badilikeni bhana.
Wafanye kama NHIF, ikifika tarehe ya kulipia unaona sms na control number
 
Uwe unasoma mantiki ya wenzako walichoandika na kuelewa.

Nani kasema hakuna sheria? Swali ni wakati gani sheria inaruhusu kufanya ivyo.

TRA wanaweza omba bank iwape ‘bank statement’ ya kampuni kwenye kufanya zoezi lao la tax audit/investigation anytime.

Lakini uwezi kuamua tu kufunga account ya mtu anytime bila ya kuwapa wahusika muda wa kujibu queries zako au watu ambao wapo tayari kutoa ushirikiano.

Hakuna hayo mamlaka ya kujifungia tu account za watu, kuna taratibu za kufuatwa kwanza.
Kama kuna taratibu za kufata, swali ni je banks zina wezaje kuruhusu TRA waingilie taarifa za wateja wao na kuzifunga au ata kuchukua pesa kama malipo ya kodi? Kutaifisha nk
 
Again uwe unasoma post za watu Simba, Yanga na TFF walishakuwa na mgogoro na NHC.

Maana post yangu uliyo quote ilikuwa inaongelea sakata la Bilcanus na ofisi nyingine ya Mbowe mjini zilizokuwa zinadaiwa kodi za miaka ya nyuma.

Hii post/thread/Uzi ni wa kuhusu Kodi sio maswala ya NHC...








TRA WAMETIMBA TFF NA KUBEBA MALI HIZI..............​

by Unknown on Machi 31, 2016
TRA
 
Kama kuna taratibu za kufata, swali ni je banks zina wezaje kuruhusu TRA waingilie taarifa za wateja wao na kuzifunga au ata kuchukua pesa kama malipo ya kodi? Kutaifisha nk

Soma hiyo summary ya sheria husika (regulations).

Kwenye tax investigation/audit TRA inaweza involve third party i.e bank (kwa sababu uwezi fanya bank reconciliation bila ya up to date bank statement), supplier na watu wengine unaofanya nao business transaction to match receipts zako, etc with tax auditing.

Ni hivi ili sio jukwaa la elimu tuanze kufundishana auditing or taxation.

Lakini hadi kufikia hatua za kufunga account kuna serious fraud detection au kuchukua hela zako kwenye account ni kwa sababu umegoma kabisa kulipa.

Maelezo yote hayo yatakuwa kwenye sheria husika soma kwa mapana ni wakati gani wanaweza zuia account yako.

Kwetu kumekucha, hayo ya TFF sitogusia kwa sababu sio hoja ya mjadala.

👋
 
KWA NINI MSITAFUTE MAZUNGUMZO NA MTU KABL HAMJAENDA KUMVAMIA AUKUVAMIA AKAUNTI ZAKE ? WHY MNAENDESHA MAMBO KIKABURU ? NYIE NI WATANZANIA MNAFANYA KAZI NA WATANZANIA MSISAHAU HILO

90B7250F-8653-4259-9348-2224ED577487.jpeg
 

Attachments

  • 435C2932-5D32-403F-837A-77BB1E7C2FF4.jpeg
    435C2932-5D32-403F-837A-77BB1E7C2FF4.jpeg
    61.5 KB · Views: 2
Walikuwa wanasema Meko anakwapua hela za watu na wao wanarudi mule mule. Mwenyezimungu huwa hamfichi mnafiki
Ndg kuongoza Nchi ni shughuli pevu sana. Bila kuwa kauzu lazima upoteane,ni swala la muda tu wafanyabiashara wana mbinu nyingi sana za kukwepa kodi. Ukiwachekea unapoteana
 
Back
Top Bottom