Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah we jamaa mshamba kweli yani kujibiwa na TRA unaona kwako ni heshima .Mwenzako amejibiwa mana yake ana heshimika ww piga kelele ujuavyo hakuna utakachoambulia
Anawarahisishia TRA kupiga hesabuSasa Diamond unavyoshare ktk page zako . Ticket za million 50 $old out ..million 10 $old out.. M5....M3..
What d u expect bro![emoji20]..
Kulipa kodi ni kosa kubwa huwezi kumbembeleza mkwepa kodi,TRA wako sahihiNa sheria gani inayowapa mamlaka ya kufunga account ya mtu, kabla ya kukaa nae kwanza.
Umesikia huko ndio hawalipi kodi?Diamond anapanga kuhamishia kazi zake Rwanda au Kenya tuone kama itakuaje
Kutokea base ya tatizo kama mtu wamemjibu kwa barua walileta hapa hilo suala ili iweje?Tumia akili, hawajaongelea maswala ya kodi, wametoa taarifa isiyohusika na malipo ya kodi, wameondoa taharuki
Ad hominem..Unajiona mjanja wakati akili huna, kuna taarifa za tuhuma wameongelea au wameelezea tukio?
Manji ana wafuasi wangapi kwenye akaunti zake za social media?Alihama manji na nchi haikuathirika yeye nani?
Alipe kodi na afuate utaratibu,TRA hawawezi muonea nasibu peke yake yeye nani
Kodi Ni asilimia ngapi ya unachopata mfano mshakata percent zenu inamaana kwenye buku ikabaki 900 nikaamua tumia navotaka Bado mtahojiKodi ni takwa la kisheria ni wajibu wa kila mtu anayeingiza kipato kulipia ili taifa litoe huduma na maendeleo kwa watu wake. Lakini ku over tax mfanya biashara/raia hiyo si sahihi na haikubaliki kisheria. Lakini na wewe dogo Diamond show off zimezidi dogo, mara upeleke kundi la chawa wako WC-Qatar, mara kununua Private jet mara Zenj na watu kibao kwa gharama zako, mamlaka zinasohusika na kodi zinaona vitimbwi vyako vyote. Slow down dogo and grow up.
Nyasi za Simba zilikaa bandarini muda hadi zilipokombolewaSimba, Yanga na hata TFF ziliwahi kumbwa na kadhia hii kwa nyakati tofauti...
Kodi ilipwe...
Nakubaliana na wewe 100% kodi sio swala la kubembelezana.Kulipa kodi ni kosa kubwa huwezi kumbembeleza mkwepa kodi,TRA wako sahihi
Wametoa taarifa kwa ummaDiamond hayupo humu nyie watu. Yupo kule insta.
Happy New Year wakuu wa TRA.
Hapo katozwa 43% ambayo ni VAT,Import DutyMwambieni atulie... Asilete mambo ya Kiki na huruma Kwa wananchi.
Ataumia vibaya.
View attachment 2464013
Aisee niwengi sanaUnaweza toa mfano wa mtu aliewahi fungiwa account yake ndani ya muda wake bila TRA kufuata processes.
Alipe kodi aache kulialia. Na kama kuna ujanja anafanya wa kukwepa kodi wamshughulkie tu, maana wengine hata hatuna sehem za kusemea unakufa kimyakimya kama mfuasi wa kibwetere.