🤣🤣🤣🤣🤣Wenye chuki na Mondi mmepata pa kusemea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Wenye chuki na Mondi mmepata pa kusemea.
Kabla sijakujibu jiulize TRA ni vichaa tu waamke na kufungia account ya mtu ?Kwanini Unawaza tu kila mfanyabiashara ni mkwepa kodi?
Wenye chuki na TRA wamepata pa kusemeaWenye chuki na Mondi mmepata pa kusemea.
Dogo Inno hivi Ricardo Momo ndiyo mshauri wa maswala ya kodi hapo wasafi eh ???🤣🤣🤣🤣🤣
Maswala ya kodi sio kama kutoga pua.Type ushahidi unaonesha alipewa taarifa akapuuzia
Hawa Mataga wa Asake wa tandale walidhani hizi sheria za kodi ni kwa ajili tu ya kuumiza wale wasiounga mkono CCM.View attachment 2464175
Mkisikia Serikali ina Mkono mrefu muwe mnaelewa.
Wakiamua hata kwenye akaunti yako binafsi wanaingia tena asubuhi na mapema.
Na wakiamua kukufirisi wanaweza kwa kutumia vifungu hivyo hivyo vya Sheria zetu 😢
Kama Diamond hajalipa Kodi, vyema alipe kabla hajafirisiwa
Tena hii 700 amepunguziwa sana.Rudisheni hiyo million 700 yake
Hahahah, wafanya biashara awapendi kilipa kodi. Wakati kamuajiriwa nakamshahara kake walaki3 kila mwezi lazima kodi ikatwe akuna kuchepuka wala nitapeleka kesho.Kabla sijakujibu jiulize TRA ni vichaa tu waamke na kufungia account ya mtu ?
Ni wafanyabiashara wangapi wana mashine za EFD na bado hawatoi risiti
Kuna watu huwa hawaelewi msemo kuwa "Sheria ni Msumeno"Hawa Mataga wa Asake wa tandale walidhani hizi sheria za kodi ni kwa ajili tu ya kuumiza wale wasiounga mkono CCM.
ahamie tu, lakini kabla hajahama lazima alipe kodi yetu kwanza kisha aende.Diamond anapanga kuhamishia kazi zake Rwanda au Kenya tuone kama itakuaje
Sheria inamruhusu DG wa TRA kutuma notice kwa bank zote kuhusu seizure ya account yoyoteKama kuna taratibu za kufata, swali ni je banks zina wezaje kuruhusu TRA waingilie taarifa za wateja wao na kuzifunga au ata kuchukua pesa kama malipo ya kodi? Kutaifisha nk
Ndicho wanachofanya lazima wakupigie simu kukuita, watakutumia email au kufika kazini au ofisini kwako, usipoenda wao wanawahi Bank, wakifika Bank lazima ulieKabla ya account kufungiwa ametumiwa notifications mara kadhaa amepuuza.
Ana makosa ya kukwepa kodi.
Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa.
Hawa akina zakayo wanaua uchumi ea nchi
Kila mtu alipe kodi kama anavyopata mapato katika kazi zake !! Ujanja ujanja haufai na haukubaliki !!
Ad hominem..
Not worth my attention at all.
Si mlisemaGA Jiwe Magufuli ndiye alikuwa anafungia tu ila Mama hafungii? Je, Jiwe amerudi?Inatakiwa mtu aitwe haojiwe siyo unafunguka account hata mhusika hajui kwanini account yake imefungwa.
Hii nchi ngumu sana kuishi. Fuatane sheria
Ni heshima na ukitaka kujua ni heshima sio kila mtu huwa anajibiwa na TRA umeona Pck pamoja na malalamiko yake yote aliyotoa Tena katoa kabla ya diamond lakini diamond ndio kaja kujibiwa