TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

IMG_20221231_095231_745.jpg

Mkisikia Serikali ina Mkono mrefu muwe mnaelewa.

Wakiamua hata kwenye akaunti yako binafsi wanaingia tena asubuhi na mapema.

Na wakiamua kukufirisi wanaweza kwa kutumia vifungu hivyo hivyo vya Sheria zetu 😢

Kama Diamond hajalipa Kodi, vyema alipe kabla hajafirisiwa
 
View attachment 2464175

Hawa Mataga wa Asake wa tandale walidhani hizi sheria za kodi ni kwa ajili tu ya kuumiza wale wasiounga mkono CCM.
 
Hawa Mataga wa Asake wa tandale walidhani hizi sheria za kodi ni kwa ajili tu ya kuumiza wale wasiounga mkono CCM.
Kuna watu huwa hawaelewi msemo kuwa "Sheria ni Msumeno"

Kwa kutumia Sheria zilizopo wakiamua kukufanya ufirisike wanaweza.

Wakati ule Mbowe anafungiwa akaunti zake walitumia Sheria hiyo hiyo iliyotumika kwa Diamond
 
Diamond anapanga kuhamishia kazi zake Rwanda au Kenya tuone kama itakuaje
ahamie tu, lakini kabla hajahama lazima alipe kodi yetu kwanza kisha aende.
hakuna aliye juu ya sheria, umaarufu wake sio kigezo cha kukwepa au kusamehewa.
 
Kama kuna taratibu za kufata, swali ni je banks zina wezaje kuruhusu TRA waingilie taarifa za wateja wao na kuzifunga au ata kuchukua pesa kama malipo ya kodi? Kutaifisha nk
Sheria inamruhusu DG wa TRA kutuma notice kwa bank zote kuhusu seizure ya account yoyote
 
Back
Top Bottom