lino livava
Member
- Feb 14, 2021
- 80
- 80
MboweUnaweza toa mfano wa mtu aliewahi fungiwa account yake ndani ya muda wake bila TRA kufuata processes.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MboweUnaweza toa mfano wa mtu aliewahi fungiwa account yake ndani ya muda wake bila TRA kufuata processes.
Kwa kuwa TRA ni Member wa hapa JF tuwaambie kuwa huu ukiritimba umesababisha bandari ya Dar kukwepwa na nchi nyingi sana. Wanapitisha mizigo yao Beira Mozambique 🇲🇿. Acheni ukiritimba mnaharibu nchi.
Kabisaa wanajidai kulia lia kutafuta hurumaHahahah, wafanya biashara awapendi kilipa kodi. Wakati kamuajiriwa nakamshahara kake walaki3 kila mwezi lazima kodi ikatwe akuna kuchepuka wala nitapeleka kesho.
Asake wa Tandale anatakiwa kuajiri wataalam wa maswala ya kodi wamsaidie hizi kazi.Ndicho wanachofanya lazima wakupigie simu kukuita, watakutumia email au kufika kazini au ofisini kwako, usipoenda wao wanawahi Bank, wakifika Bank lazima ulie
Na hawa wafanyabiashara wanatakiwa wapelekwe mafunzo ya maswala ya kodi ili kujiepusha na uzembe unaopelekea kukwepa kodi.Hawa maofisa wa TRA wabatakiwa wapelekwe kozi ya customa care maana they know nothing about how to handle their customers
Huyu msanii naye inabidi ajitambue kuwa ameshakuwa mtu mkubwa na muhimu sana na hivyo hastahili tena kuwa analalama lalama kwenye mitandao akiilalamikia Serikali kwa sababu, anao hata uwezo wa kuomba appointment na Meneja wa TRA na akaipata within minutes!
Na sheria gani inayowapa mamlaka ya kufunga account ya mtu, kabla ya kukaa nae kwanza.
Baadhi ya wahuni ndio wanavyofanya kwenye hiyo taasisi wakipata n’gombe.Uikaa naye mkashindwa kuelewana anakwapua hela zote, hivyo tunakupiga tanji kwanza kisha tunazungumza ikizigoa tunazaa na wewe mamamamamammamae
We jamaa aisee sasa ulitaka tujadili ‘preamble’ ya sheria badala ya vipengele husika.
Mkikamatwa kwa uzembe, wizi au rushwa basi mnakimbilia kuwalinda wafanyakazi wenu, ati sheria haziruhusu kutoa siri za walipa kodi.
Kumbe JPM alikua sahihi kuichukua blicana? 🤷🏼♂️Mbowe biashara zake alikuwa akidaiwa kodi za mapango na NHC za miaka hadi kufikia mamillioni; na awakumtoa alienda mahakamani kesi akashindwa mpaka leo ajalipa madeni ya NHC.
JPM ahusiki na kuchukuliwa kwa hilo jengo ni mgogoro wa Mbowe (kutolipa kodi zaidi ya 5 au kumi) na NHC kuamua kuchukua mali yao.Kumbe JPM alikua sahihi kuichukua blicana? 🤷🏼♂️
Alisikika kiongozi mmoja wa juu akisema;