TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

Wanatumia ofisi za umma kunyanyasa walipa kodi na kuwadhalilisha hii ni aibu ni wasomi ambao wameenda shule lakini eliminate wakaiacha shuleni wakarudi na kiburi na ubabe
 
Ni dhahiri kuna masuala ya kikodi hayako sawa,aende ofisini wakayajenge,ili wafanyakazi wa wasafi walipwe mishahara yao,wale sikukuu ya mwaka mpya 2023.Lakini inawezekana Diamond ame under declare mapato yake ya mikataba na makampuni mbalimbali,aliyoingia nayo mikataba

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hawa maofisa wa TRA wabatakiwa wapelekwe kozi ya customa care maana they know nothing about how to handle their customers
Na hawa wafanyabiashara wanatakiwa wapelekwe mafunzo ya maswala ya kodi ili kujiepusha na uzembe unaopelekea kukwepa kodi.
 
Huyu msanii naye inabidi ajitambue kuwa ameshakuwa mtu mkubwa na muhimu sana na hivyo hastahili tena kuwa analalama lalama kwenye mitandao akiilalamikia Serikali kwa sababu, anao hata uwezo wa kuomba appointment na Meneja wa TRA na akaipata within minutes!

Kulalamika lalamika kwenye mitandao hakuwezi kumsaidia isipokuwa wakati mwingine inaweza ikachukuliwa kuwa ana mpango wa kuichafua Serikali. Ni mtu mkubwa mno na anatakiwa akae in Harmony with the system, all the time
 
Kuna umuhimu wa kuundwa tume ya wataalamu wa uchumi na kodi ili kufanya reform ya TRA hii itasaidia kuendeshwa kisasa. Haiwezekani mtu anakodi anataka kulipa na bado akapata usumbufu
 
We jamaa aisee sasa ulitaka tujadili ‘preamble’ ya sheria badala ya vipengele husika.


Hiko ndio ulichotakiwa kuweka au regulations zake; either way kila process ya TRA wanachotakiwa kufanya kimo humo. Binafsi sijaisoma hiyo sheria yote ila I know what to expect kwa sababu sheria administration ya kodi zinafanana karibu dunia nzima.

Kodi ni sheria na elewa TRA ni administrators wa sheria ya kodi tu. Maana yake jukumu lao ni kukusanya kodi kwa mujibu wa sheria; so awahitaji ubunifu wowote wa ziada (well except uelewa wa accounting in some levels kwenye kazi za uchunguzi).

Matter of fact sheria inaweza kuwa interpreted tofauti na watu wawili tofauti. Hizo ndio sababu ukikutana na tax accountant nchi za wenzetu wanaofanya returns za matajiri ni twanga ni nikutwange na mamlaka za kodi sheria imeruhusu nini na inakataza that’s how people like Donald Trump can pay income tax za $15000 na wenzake wenye similar income kulipa karibu na $1 million.

Either way hakuna sehemu sheria inaruhusu kufungia account za watu kiholela bila ya kufuata taratibu husika za tax investigation kwanza na kumpa ushirikiano mdaiwa.
 
Mbowe biashara zake alikuwa akidaiwa kodi za mapango na NHC za miaka hadi kufikia mamillioni; na awakumtoa alienda mahakamani kesi akashindwa mpaka leo ajalipa madeni ya NHC.
Kumbe JPM alikua sahihi kuichukua blicana? 🤷🏼‍♂️
 
Kumbe JPM alikua sahihi kuichukua blicana? 🤷🏼‍♂️
JPM ahusiki na kuchukuliwa kwa hilo jengo ni mgogoro wa Mbowe (kutolipa kodi zaidi ya 5 au kumi) na NHC kuamua kuchukua mali yao.

It had nothing to do with TRA wala serikali kuu.
 
Back
Top Bottom