TRA Tanzania hampo makini

TRA Tanzania hampo makini

okiwira

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,856
Reaction score
3,003
Kupata TIN NO siku mbili au moja, kupata leseni yaweza kukata mwezi unaenda na kurudi nauli 15000.

Alafu kuna makadilio ya mapato sijui mnatumia vigezo gani kukadilia mapato sehemu ya vijijini ambayo soko wanategemea kwa week mara moja? Hiv kuna siku itakuja ambayo mtanzania kila kitu atakamilisha akiwa ndani ya kata yake kuhusu mambo ya kodi.

UTOE KODI ALAFU BADO UPOTEZEWE MUDA HII SI NJEMA.

Umelipa kila kitu ila kupata lile karatasi la leseni inachukua week week kwenda mwezi. Halafu wafanyakaz wa tra wakituona ofisin wanaona wote walima kahawa walanguliwa ''UTASIKIA AISEEE NETWORK INASUMBUA NCHI NZIMA''

Wakati wa mabadiliko ni sasa badilikeni NYAKATI HIZI ZINAONGEA.

KARIBUNI SANA MBEYA WILAYA YA RUNGWE.

#afisa biashara jitathimini.
 
Mkuu hawa TRA Tanzania wapo humu.Ukitaka wakuelewe wewe wafuate PM wape TIN number yako na shida yako ili waweze kukupa suluhisho la uhakika
TRA wanafanya kazi kizamani sana. Wanashindwaje kujifunza kwenye nchi zingine kuhusu masuala ya kodi. Nenda pale TRA Dodoma wananchi wamejazana utadhani First Year wa UDSM wanafanya usajili.
 
Hii ndo inakera mno alafu hapo utakaa masaa sita shida nini eti network inasumbua yaani hakuna siku hata moja wasiseme NETWORK INAZINGUA AU NETWORK INAZINGUA NCHI.

Leseni unaifuatilia mwezi??
 
Mkuu hawa TRA Tanzania wapo humu.Ukitaka wakuelewe wewe wafuate PM wape TIN number yako na shida yako ili waweze kukupa suluhisho la uhakika
Niende PM nikafanye tena mkuu haya nayo yakuongelea chumba?

Leseni ninayo tayari mda mrefu.

Ila wanakera wao kila siku wao network inasumbua kurenew tu lesen mwez vingnevyo uwe tayari kukaa kuanzia saa1 asubuh mpaka saa10 jioni vingnevyo ukubali kupoteza nauli kila uchwao.

Labda tra huko kwengine wapo tofauti ila kwa WILAYA YA RUNGWE hapana aisee ni changamoto.
 
Wilaya ya Makete na Mkoa wa Kikodi wa Ilala wapo vizuri sana. Kwa kweli nawapa heko sana, wanafanya kazi nzuri mno mpaka mteja unafurahi.
 
Niende PM nikafanye tena mkuu haya nayo yakuongelea chumba?

Leseni ninayo tayari mda mrefu.

Ila wanakera wao kila siku wao network inasumbua kurenew tu lesen mwez vingnevyo uwe tayari kukaa kuanzia saa1 asubuh mpaka saa10 jioni vingnevyo ukubali kupoteza nauli kila uchwao.

Labda tra huko kwengine wapo tofauti ila kwa WILAYA YA RUNGWE hapana aisee ni changamoto.
Mkuu unaweza kufanya renewal ya leseni mwenyewe online kama ni leseni ya udereva kisha utafuata printout tu hapo TRA
 
Ni Leseni ya biashara mkuu.
nimeshapata

Mkuu shida kubwa kuliko zote hapo hapo kwenye PRINTOUT utasubiri hilo karatasi mpaka network iachiliwe toka makao makuu.

jamaa waTIN walau wanajitahid sijui wao wanatumia network ya nchi jirani.
 
Mkuu unaweza kufanya renewal ya leseni mwenyewe online kama ni leseni ya udereva kisha utafuata printout tu hapo TRA
Ijapokuwa ni mwez uliopita ndo nimeona wameleta mfumo mpya wanauita TAUSI utakuwa unajisajili nyumban kama wafanyavyo TANESCO HEKO KWAO.

sasa PRINTOUT sijui kama hatutapanga foleni mpaka week 3-4
 
Hii ndo inakera mno alafu hapo utakaa masaa sita shida nini eti network inasumbua yaani hakuna siku hata moja wasiseme NETWORK INAZINGUA AU NETWORK INAZINGUA NCHI.

Leseni unaifuatilia mwezi??
Hilo likitu networks inasumbua ni kisingizio kikubwa na chaka la upigaji kwa sasa kwenye mashirika mengi ya umma.
 
Alafu wanaamini hatujui chochote.

Afisa biashara kabisa na akili zetu timamu anatuambia network nchi nzima inasumbua jengo hilo hilo huduma za RITA NIDA TIN zinaendelea vizuri tu.
 
Mkuu hawa TRA Tanzania wapo humu.Ukitaka wakuelewe wewe wafuate PM wape TIN number yako na shida yako ili waweze kukupa suluhisho la uhakika
Kuna wakati lazima waambiwe kwa uwazi hapahapa ili hata yule asiye na shida nao kwa sasa ayajue madhaifu yao pale atakapo kuwa na shida nao TRA swala la mtandao ni tatizo sugu linalo weza kukukalisha hata wiki nzima ,

ni mtandao gani huo usio rekebishika miaka yote!? Au ma IT wa TRA ni wa mchongo? TRA kwakweli wanakera na ndio chanzo cha watanzania wengi kukwepa kodi.
 
Alafu wanaamini hatujui chochote.

Afisa biashara kabisa na akili zetu timamu anatuambia network nchi nzima inasumbua jengo hilo hilo huduma za RITA NIDA TIN zinaendelea vizuri tu.
Hapo vipo vitu vingi mzee
 
Kuna wakati lazima waambiwe kwa uwazi hapahapa ili hata yule asiye na shida nao kwa sasa ayajue madhaifu yao pale atakapo kuwa na shida nao TRA swala la mtandao ni tatizo sugu linalo weza kukukalisha hata wiki nzima ,

ni mtandao gani huo usio rekebishika miaka yote!? Au ma IT wa TRA ni wa mchongo? TRA kwakweli wanakera na ndio chanzo cha watanzania wengi kukwepa kodi.
Alafu Network Gan Isumbue Tra Tu Sehem Zinaendelea Na Huduma Tin Nida Na Rita Jengo Moja Na Tra?
 
Back
Top Bottom