okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,856
- 3,003
Kupata TIN NO siku mbili au moja, kupata leseni yaweza kukata mwezi unaenda na kurudi nauli 15000.
Alafu kuna makadilio ya mapato sijui mnatumia vigezo gani kukadilia mapato sehemu ya vijijini ambayo soko wanategemea kwa week mara moja? Hiv kuna siku itakuja ambayo mtanzania kila kitu atakamilisha akiwa ndani ya kata yake kuhusu mambo ya kodi.
UTOE KODI ALAFU BADO UPOTEZEWE MUDA HII SI NJEMA.
Umelipa kila kitu ila kupata lile karatasi la leseni inachukua week week kwenda mwezi. Halafu wafanyakaz wa tra wakituona ofisin wanaona wote walima kahawa walanguliwa ''UTASIKIA AISEEE NETWORK INASUMBUA NCHI NZIMA''
Wakati wa mabadiliko ni sasa badilikeni NYAKATI HIZI ZINAONGEA.
KARIBUNI SANA MBEYA WILAYA YA RUNGWE.
#afisa biashara jitathimini.