TRA, TCAA, NHIF, St John, vp washaita watu?

Pole,watu tushaanza na kazi mkuu.
 
Pole,watu tushaanza na kazi mkuu.

Afu acha majibu ya kipumbavu wewe, mtu anauliza yuko serious wewe unaleta maskhara, kama umeshaanza kazi umeianzia wapi, kwanza mwana kataja mashirika kama matano hivi, unakurupuka tu! halafu wewe si ndio ulidai unataka kuenda jeshini? sasa kazi hiyo umeianza wapi maluun wewe? halafu ndio mnaojiita wasomi, mi nakuangaliaga tu unavyopigaga makelele pale cafe 2, na ipo siku yako!
 
hyo cku yangu ikifka utanifanyaje?
 
hyo cku yangu ikifka utanifanyaje?

We senator bana,unazingua watu,umefanya supp juzi tu na cjui kama umechomoa leo unasema umeanza kazi,au shemeji asiyejibu msg zako anakuchanganya?
 
Senetor huna ubinadamu kabisa. Wewe ukiomba unajibiwa vema,wenzako unawajibu dry. Don't be fool. Sasa umeanza kazi wapi? Ni Tra,St.John,Tcca ama Nhif? Kama siyo uhayawani na ujinga ni nini? Wana jf forum mpeni huyu Senetor haki yake. Mkuda huyu.
 
nikaushie bana.
 
tunachangamsha jukwaa bana,lazima tutaniane kidogo mkuu!
 
Senetor huna ubinadamu kabisa. Wewe ukiomba unajibiwa vema,wenzako unawajibu dry. Don't be fool. Sasa umeanza kazi wapi? Ni Tra,St.John,Tcca ama Nhif? Kama siyo uhayawani na ujinga ni nini? Wana jf forum mpeni huyu Senetor haki yake. Mkuda huyu.

ndo tabu ya jf kuingiliwa na watoto, hata heshima yake inashuka. hajui hata wakati wa utani na wakati wa kusiriazika! kilaza huyu mtu...
 
Hivi haka kasenetor kumbe ni kapumbavu namna hii, sio thread zote zinahitaji uoneshe upumbavu wako, nenda kajiandae na shule jpili imeisha hii
 
Nimekutana na dada mmoja akaniambia aliitwa ST JOHNS na ameanza kazi kama T.A Geog dept.sasa sijui kama alikuwa anamaanisha ama alikuwa ananidangaya.
 
Huyo dada nahc analeta chenga, nilipiga cm chuo wakanijibu kuwa wameanza na ma-akautant wengne interview
bado.

Hii ndiyo Tanzania....ina wenyewe wanaojua kula nchi........, teh.... teh... teh..........,
 
sources zangu ambazo sio confirmed zinaonyesha tra wanaita mwezi nov, kuanza mchakato wa interview mpaka january. Watakaopita wanaanza kibarua january 2012.
 
Back
Top Bottom