Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Vp wakuu mwenye habari kuhusu hizo post hapo juu vp washaita?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole,watu tushaanza na kazi mkuu.
Afu acha majibu ya kipumbavu wewe, mtu anauliza yuko serious wewe unaleta maskhara, kama umeshaanza kazi umeianzia wapi, kwanza mwana kataja mashirika kama matano hivi, unakurupuka tu! halafu wewe si ndio ulidai unataka kuenda jeshini? sasa kazi hiyo umeianza wapi maluun wewe? halafu ndio mnaojiita wasomi, mi nakuangaliaga tu unavyopigaga makelele pale cafe 2, na ipo siku yako!
hyo cku yangu ikifka utanifanyaje?
We senator bana,unazingua watu,umefanya supp juzi tu na cjui kama umechomoa leo unasema umeanza kazi,au shemeji asiyejibu msg zako anakuchanganya?
Senetor huna ubinadamu kabisa. Wewe ukiomba unajibiwa vema,wenzako unawajibu dry. Don't be fool. Sasa umeanza kazi wapi? Ni Tra,St.John,Tcca ama Nhif? Kama siyo uhayawani na ujinga ni nini? Wana jf forum mpeni huyu Senetor haki yake. Mkuda huyu.
Senetor huna ubinadamu kabisa. Wewe ukiomba unajibiwa vema,wenzako unawajibu dry. Don't be fool. Sasa umeanza kazi wapi? Ni Tra,St.John,Tcca ama Nhif? Kama siyo uhayawani na ujinga ni nini? Wana jf forum mpeni huyu Senetor haki yake. Mkuda huyu.
hyo cku yangu ikifka utanifanyaje?
ndo utajua hiyo siku ikifika! stay tuned...
Nimeamini kwamba hauna akili timamu...Pole,watu tushaanza na kazi mkuu.
Huyo dada nahc analeta chenga, nilipiga cm chuo wakanijibu kuwa wameanza na ma-akautant wengne interview
bado.