Sorry mkuu wangu, sasa ukiwa na watu fake kwenye jamii utawafanyaje? Lazima uishi hovyo tu?!Mbona unaniangusha hivyo mwasu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry mkuu wangu, sasa ukiwa na watu fake kwenye jamii utawafanyaje? Lazima uishi hovyo tu?!Mbona unaniangusha hivyo mwasu
Road licence ilishafutwa. TRA hawahusiki na bima. Trafiki na TIRA ndio kazi yao labda waonganishe nguvu tu.
Wewe nawe sijui wamekunyima lift; TRA wanahusikaje na bima kwa mfano? Utapataje usajili wa gari bila kulipia? Road license ilifutwa na malipo gani mengine wenye magari wanatakiwa kulipa kutokana na huu udaku wako?Wakati muafaka kuendelea kumsaidia Mh. Rais atimize yale aliyopàngiwa na Mungu.
Ndugu zangu TRA tokeni maofisini nenden mitaan mkakague magari mengi yako mtaani yamekwepa kulipa kodi tena wakishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wenu wasio waaminifu.
Tuamke sasa kumsaidia Rais.
La pili, kuna Stickers fake za bima ziko kila kona magari mengi hayana bima halali hili na la polisi tunaomba tuingie mtaani tukapambane kodi zilipwe.
Akikugonga mtembea kwa miguu? Au akikugonga wakati una third party insurance? Bima fake inaathiri wengi ndio maana imawekwa third party insurance imlinde utakaemgonga, wewe ubaki upambane na hali yakoInakukera nini mtu kuwa na bima fake wakati hata hupandi hilo gari na likipata tatizo anapambana na hali yako hategemei chochote kutoka kwako? Mkuu fanya yako achana na ya watu.
Unapokata bima insurance company anakatwa kodi kupitia hiyo premium. Kwaiyo TRA anahusika usipokata bima insurance company haipati premium hivyo kodi inakosekana
Acha wivu wewe unawafundisha kazi?Wakati muafaka kuendelea kumsaidia Mh. Rais atimize yale aliyopàngiwa na Mungu.