mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Wengi watabaki wakisema ni illuminati.wataionja Thika Superhighway nzima kabla ya kufika kwenye stadium ya Kasarani...mi nakwambia watajinyonga leo usiku...Pia watazionja Thika Road Mall, safari Park Hotel na Garden City Mall...
![]()
![]()
![]()