TRA torched 150 bags of substandard tea from Kenya

wataionja Thika Superhighway nzima kabla ya kufika kwenye stadium ya Kasarani...mi nakwambia watajinyonga leo usiku...Pia watazionja Thika Road Mall, safari Park Hotel na Garden City Mall...
garden_city_exterior.jpg
gje5z1tspgny59842a5d0df7d.jpg
Thika-Road-Mall.jpg
Wengi watabaki wakisema ni illuminati.
 
kwa kweli kabla ya kufika hapa kwetu Kasarani lazima watapitia barabara ya Thika, nafikiri itakua poa sana maana baada ya hapo watarudi Tanzania na ujumbe wa wao kuacha kushindana na Kenya, wafanye yao maana bado wako nyuma sana.
Hizi hapa picha za barabara watakayopitia kabla kuingia uwanjani, unajua kwao ndio wameanza kujenga flyover.

Nairobi-Thika-Highway.jpg

CW_dmbtWwAAbPFt.png

globe-roundabout-1-now.jpg

Halafu pia wapitie Ring Road
DG3BkEyW0AA_L0k.jpg

hizi picha ni mwaka wa tatu SASA naziona.
duuu nchi yenu ni kituko cha pekee duniani.
yaani upande mmoja wa mji (thika) is of world class standard upande mwingine (kibera and mathare), you can't imagine if those homo sapiens are belonging to so called mido income economy.
 
Hizo hapo nimezileta maana ndio njia ya kwenda uwanja wa Kasarani ambayo Magufuli atatumia, lakini ukitaka basi nakuletea na za maeneo mengine ambayo hatapata fursa ya kuona, nikipata fursa nitatiririka hapa...

south2.jpg

B-ltEz9UAAA1prt.jpg:large

PVj4ZRc.jpg

11324940_924118114314085_196521043_n.jpg

12328001_919653158132636_1553199386_n.jpg

11930871_1052910498076724_710145057_n.jpg

11850415_420240274844786_548197180_n.jpg

1172979_976464392389382_382334565_n.jpg

greensuncities__47.jpg
 
low quality inakuwa imported ili wauze kwa wenye uwezo mdogo immediately ina compete na local produced, tambua kuwa maskini ni consumers wakwanza wa low quality ya chakula sasa angalia idadi na wanafanya hivyo kwa kuwa hawana uwezo wa kununua quality, yatupasa kuinua msiah ya wananinchi ki uchumi ili wale kinachotakiwa na huku serikali ikizuia low quality in the market
Haha,vifaranga tulivyochoma nilikuwa low quality?ukweli ni kwamba, inawauma tunavyowafanyia alafu nyinyi,mnaishia kulialia tu.
 
Jeshi litujengee ukuta wa kutenganisha Tanzania na Kenya kama ule wa mererani hahahaha
 
kwa kweli kabla ya kufika hapa kwetu Kasarani lazima watapitia barabara ya Thika, nafikiri itakua poa sana maana baada ya hapo watarudi Tanzania na ujumbe wa wao kuacha kushindana na Kenya, wafanye yao maana bado wako nyuma sana.
Hizi hapa picha za barabara watakayopitia kabla kuingia uwanjani, unajua kwao ndio wameanza kujenga flyover.

Nairobi-Thika-Highway.jpg

CW_dmbtWwAAbPFt.png

globe-roundabout-1-now.jpg

Halafu pia wapitie Ring Road
DG3BkEyW0AA_L0k.jpg
Hizi picha mtatutia hasara wenzenu, maana tunaweza kubomolewa hadi state house ili zijengwe!!!
 
Hio picha ya msafara wa magufuli Thika superhighway utakapoipata tu jombaa unitag. Ntachapilia frame na misumari ya steel ukutani niwe naitazama kila siku. 😀😀😀
Hahaha a good memory it will be.
kwa kweli kabla ya kufika hapa kwetu Kasarani lazima watapitia barabara ya Thika, nafikiri itakua poa sana maana baada ya hapo watarudi Tanzania na ujumbe wa wao kuacha kushindana na Kenya, wafanye yao maana bado wako nyuma sana.
Hizi hapa picha za barabara watakayopitia kabla kuingia uwanjani, unajua kwao ndio wameanza kujenga flyover.

Nairobi-Thika-Highway.jpg

CW_dmbtWwAAbPFt.png

globe-roundabout-1-now.jpg

Halafu pia wapitie Ring Road
DG3BkEyW0AA_L0k.jpg
Hahaha me nilidhani ni kitu cha maana sana kumbe ni hii? Sasa mbona arusha wanayo barabara kama hii
Screenshot_2017-11-01-21-39-13.png
 
kwa kweli kabla ya kufika hapa kwetu Kasarani lazima watapitia barabara ya Thika, nafikiri itakua poa sana maana baada ya hapo watarudi Tanzania na ujumbe wa wao kuacha kushindana na Kenya, wafanye yao maana bado wako nyuma sana.
Hizi hapa picha za barabara watakayopitia kabla kuingia uwanjani, unajua kwao ndio wameanza kujenga flyover.

Nairobi-Thika-Highway.jpg

CW_dmbtWwAAbPFt.png

globe-roundabout-1-now.jpg

Halafu pia wapitie Ring Road
DG3BkEyW0AA_L0k.jpg
Minion on fleek!
 
Back
Top Bottom