Nipo sokoni tandale hapa nanunua bidhaa (nyanya, vutunguu etc.)......wauzaji wote hawana risiti na wengie hata hawana habari na Hiyo "tiharei" yenu......nifanyeje?Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti.
Endapo utakamatwa umenunua bidhaa au Huduma na hauna risiti basi utapigwa faini ya kati Tsh. 30,000 na 1,500,000 kwa mujibu wa kanuni za sheria ya kodi.
Kumbuka kudai risiti kila wakati.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu, na nikila kwa mama lishe napo nidai risiti?Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti.
Endapo utakamatwa umenunua bidhaa au Huduma na hauna risiti basi utapigwa faini ya kati Tsh. 30,000 na 1,500,000 kwa mujibu wa kanuni za sheria ya kodi.
Kumbuka kudai risiti kila wakati.
Maendeleo hayana vyama!
Kama unaua watu kupitia wasiojulikana and then unaaogopa kusaini hati ya kifo.Mamlaka ya dunia ikikwambia ua utaua? I hope so kama unaiheshimu iliyopatikana kwa njia za kitapeli, but mwenzio mwenye hayo mamlaka hapa duniani anaogopa kuweka saini kwenye hati ya kifo ili mtu anyongwe, tafakari.
Waandae milioni unusuNipo sokoni tandale hapa nanunua bidhaa (nyanya, vutunguu etc.)......wauzaji wote hawana risiti na wengie hata hawana habari na Hiyo "tiharei" yenu......nifanyeje?
Kha eti mbona Yesu hakutii mamlaka!?? Kwa hiyo unamgelezea Yesu.... Sasa wewe umeanza lini kujilinganisha na Yesu. Sidhani kama unaweza lingana nae hata siku moja😅😅😅Yesu alisema Mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa naye unamtii sababu ana mamlaka? Si kila mamlaka kaiweka Mungu?. Mbona YESU akutii mamlaka za kishetani alipoambiwa anafanya hayo Kwa mamlaka ya nani akajibu nenda ukamwambie yule mbweha. Herode na mamlaka akaambiwa mbweha. Sikia mamlaka inayofanya Dhambi haijawekwa na MUNGU.
Naunga mkono hoja.Yesu alisema Mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa naye unamtii sababu ana mamlaka? Si kila mamlaka kaiweka Mungu?. Mbona YESU akutii mamlaka za kishetani alipoambiwa anafanya hayo Kwa mamlaka ya nani akajibu nenda ukamwambie yule mbweha. Herode na mamlaka akaambiwa mbweha. Sikia mamlaka inayofanya Dhambi haijawekwa na MUNGU.
2Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.
3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu.
Basi kama huamini tumia imani yako kufanya yanayokupasa na Mungu atafanya anayoyataka. Usivae viatu vya Mungu bali fuata maagizo yakeHuu msitari Warumi 13-1 usitumike vibaya. Mimi siamini kama mamlaka ya Magufuli kwa mwaka 2020-25 imetoka kwa Mungu. Kwa kweli hata ukinichuna ngozi nichune ila MAGUFULI mamlaka yake HAIJATOKA kwa MUNGU BALI alijitwalia mamlaka kwa kuiba uchaguzi kwa kusaidiwa na TISS, NEC na Poilce.
Naunga mkono hoja.
Binafsi mimi ni mkristo, naamini katika Neno la Mungu na si katika mtu, nimebatizwa na nimejazwa Roho mtakatifu.
Kuna maandiko yanatumiwa na watu wachache ili kuhalalisha haramu au kujijipendekeza kwenye mamlaka ili tu wapate wanalolihitaji kutoka kwa viongozi.
Wakati mwingine hofu ndio msingi wa kuhubiri Injili kwa uso wenye haya.
Kama mamlaka zote zimepata baraka toka juu je?
1.Viongozi kama Hittler (ex-German's Fuhrer) aliyewaua mamilioni ya Waisraeli ile mamlaka ilitoka mbinguni?
2.Je, Viongozi kama Idd Amini walioingia kwa kuipindua nchi ni mamlaka iliyopaswa kuitii na kuiombea kwakuwa mamlaka zote zimetoka kwa Mungu?
3. Nimeona wanasiasa wakienda kwenye nyumba za aganga wa kienyeji ili kunyoosha mapito yao na baadaye kushika nafasi kama Ubunge, udiwani na u DC.
Je, watu kama hawa mamlaka zao zimetoka kwa Mungu?
Ndiyo tunaona kama kuna kausumbufu fulaniVitu vingine atasijui huwa wanafikiria nini? Umedai risiti ya viatu dukani ukifika nyumbani unaifanyia nini hiyo risiti zaidi ya kuitupa tu? Hiyo process imesaidia vipi kuzuia ukwepaji kodi?
Utakamata watu wangapi kwa siku ambao hawajadai risiti na inafaida gani zaidi ya kuwapiga fines tu au tuite (uporaji unao halalishwa na mamlaka), yaani mtu aende shopping ya kawaida ya nyumbani kwake kila duka adai risiti hiyo wallet si itakuwa imejaa makaratasi tu mpaka arudi nyumbani.
I can understand walau wangesema manunuzi ya zaidi ya 500,000 kwa mkupuo lazima uchukue risiti.
Lakini kutaka kulazimisha watoto wachukue risiti hata za pipi dukani it’s stupid to say the least. Halafu ata sijui how you’d police this kutakuwa na stop and search njiani mtu akionekana na mfuko wa shopping unasimamishwa uonyeshe risiti.
It’s just stupid, there are better methods of auditing business kuliko kusumbua wananchi.
Mungu afungamani na watu wajinga wanaohalalisha ujinga wao kwa kutoyaelewa maandikoBasi kama huamini tumia imani yako kufanya yanayokupasa na Mungu atafanya anayoyataka. Usivae viatu vya Mungu bali fuata maagizo yake
True hasa ukibiwa vitu na vikapatikana utavipataje pasipo risiti ukienda polisiNdiyo tunaona kama kuna kausumbufu fulani
Lakini risit inaumuhimu wake kwako pia
Kiusalama etc
Sema approach wanayoitumia siyo nzuri
Watu kama sisi tayari tunajua umuhimu wa kuchukua risit haitaji tena tuanze kutishana
Na ma fine
Ova
Kwa nini majukumu ya TRA yanahamishiwa kwa raia? Ni jukumu la muuzaji kutoa risiti, na jukumu la TRA kuhakikisha kila mfanyabiashara anatoa risiti. Si jukumu la mlaji kumlazimisha mfanyabiashara atoe risiti. Watulipe basi.Omba tu risiti wakati wote ndugu yangu maana Ukipatikana utahama huko kwenye umeme wa sola uende kwenye ugali wa bure wa serikali.
Umenikumbusha vita za kwenye maandiko matakatifu Mungu alivyokua anawainua watawala aliowapenda😅😅Hata kama wako madarakani kwa kuwezeshwa na mitutu ya bunduki. Sidhani kama Mungu ana maana hiyo, watu ndio hupotosha kukidhi matakwa yao.
Hili la mamlaka zote zimetoka kwa Mungu talipinga hata nikikutana na Mungu,Hata kama wako madarakani kwa kuwezeshwa na mitutu ya bunduki. Sidhani kama Mungu ana maana hiyo, watu ndio hupotosha kukidhi matakwa yao.
Imekuwa nchi ya vitisho tu kila siku! Dah..,.Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti.
Endapo utakamatwa umenunua bidhaa au Huduma na hauna risiti basi utapigwa faini ya kati Tsh. 30,000 na 1,500,000 kwa mujibu wa kanuni za sheria ya kodi.
Kumbuka kudai risiti kila wakati.
Maendeleo hayana vyama!
Ahh mama d naona unatupa neno la mungu mama d uko vzr kila sekta[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha vita za kwenye maandiko matakatifu Mungu alivyokua anawainua watawala aliowapenda[emoji28][emoji28]
Mungu ibariki Tanzania
Ndugu ngoja nikupe mifano miwili kutoka kwenye orodha ya details unazotakiwa kuweka kwenye receipt (kwa mfanyabiashara).Ndiyo tunaona kama kuna kausumbufu fulani
Lakini risit inaumuhimu wake kwako pia
Kiusalama etc
Sema approach wanayoitumia siyo nzuri
Watu kama sisi tayari tunajua umuhimu wa kuchukua risit haitaji tena tuanze kutishana
Na ma fine
Ova