TRA: Ukinunua bidhaa na usipodai risiti utapigwa faini ya kati ya Tsh. 30,000 na Tsh. 1,500,000

TRA: Ukinunua bidhaa na usipodai risiti utapigwa faini ya kati ya Tsh. 30,000 na Tsh. 1,500,000

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti.

Endapo utakamatwa umenunua bidhaa au Huduma na hauna risiti basi utapigwa faini ya kati Tsh. 30,000 na 1,500,000 kwa mujibu wa kanuni za sheria ya kodi.

Kumbuka kudai risiti kila wakati.

Maendeleo hayana vyama!
Nipo sokoni tandale hapa nanunua bidhaa (nyanya, vutunguu etc.)......wauzaji wote hawana risiti na wengie hata hawana habari na Hiyo "tiharei" yenu......nifanyeje?
 
Mkuu, na nikila kwa mama lishe napo nidai risiti?
 
Mamlaka ya dunia ikikwambia ua utaua? I hope so kama unaiheshimu iliyopatikana kwa njia za kitapeli, but mwenzio mwenye hayo mamlaka hapa duniani anaogopa kuweka saini kwenye hati ya kifo ili mtu anyongwe, tafakari.
Kama unaua watu kupitia wasiojulikana and then unaaogopa kusaini hati ya kifo.
Hapa ni sawa na uli nyama lkn unakunywa mchuzi wake.
 
Nipo sokoni tandale hapa nanunua bidhaa (nyanya, vutunguu etc.)......wauzaji wote hawana risiti na wengie hata hawana habari na Hiyo "tiharei" yenu......nifanyeje?
Waandae milioni unusu
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Yesu alisema Mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa naye unamtii sababu ana mamlaka? Si kila mamlaka kaiweka Mungu?. Mbona YESU akutii mamlaka za kishetani alipoambiwa anafanya hayo Kwa mamlaka ya nani akajibu nenda ukamwambie yule mbweha. Herode na mamlaka akaambiwa mbweha. Sikia mamlaka inayofanya Dhambi haijawekwa na MUNGU.
Kha eti mbona Yesu hakutii mamlaka!?? Kwa hiyo unamgelezea Yesu.... Sasa wewe umeanza lini kujilinganisha na Yesu. Sidhani kama unaweza lingana nae hata siku moja😅😅😅
 
Yesu alisema Mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa naye unamtii sababu ana mamlaka? Si kila mamlaka kaiweka Mungu?. Mbona YESU akutii mamlaka za kishetani alipoambiwa anafanya hayo Kwa mamlaka ya nani akajibu nenda ukamwambie yule mbweha. Herode na mamlaka akaambiwa mbweha. Sikia mamlaka inayofanya Dhambi haijawekwa na MUNGU.
Naunga mkono hoja.
Binafsi mimi ni mkristo, naamini katika Neno la Mungu na si katika mtu, nimebatizwa na nimejazwa Roho mtakatifu.

Kuna maandiko yanatumiwa na watu wachache ili kuhalalisha haramu au kujijipendekeza kwenye mamlaka ili tu wapate wanalolihitaji kutoka kwa viongozi.

Wakati mwingine hofu ndio msingi wa kuhubiri Injili kwa uso wenye haya.

Kama mamlaka zote zimepata baraka toka juu je?

1.Viongozi kama Hittler (ex-German's Fuhrer) aliyewaua mamilioni ya Waisraeli ile mamlaka ilitoka mbinguni?

2.Je, Viongozi kama Idd Amini walioingia kwa kuipindua nchi ni mamlaka iliyopaswa kuitii na kuiombea kwakuwa mamlaka zote zimetoka kwa Mungu?

3. Nimeona wanasiasa wakienda kwenye nyumba za aganga wa kienyeji ili kunyoosha mapito yao na baadaye kushika nafasi kama Ubunge, udiwani na u DC.

Je, watu kama hawa mamlaka zao zimetoka kwa Mungu?
 
2Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.
3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu.

Mamlaka iliyowekwa na Mungu hauiwi watu.
Mungu hana chaguzi juu ya maamuzi yetu.Mungu apigi kura,Mungu aibi kura,Mungu hamiliki tume.
Hili la mamlaka utoka kwa Mungu ni kuhalilisha uovu.
Kama mamlaka utoka kwa Mungu why wengine wamependelewa kupata viongozi bora? na why afrika pekee ndo upata watawala bogus je Mungu awapendi waafrika?
 
Hii kitu kitambo sana inafanyika maeneo ya kko
Ukinunua kitu dukani ukitoka umebeba utashanga mbele huko unapigwa mkono unauliziwa risiti uoneshe kama hauna ndy hivyo
Na unaenda nao mpaka dukani uliponunua
Kwangu mimi siyo jambo geni

Ova
 
Huu msitari Warumi 13-1 usitumike vibaya. Mimi siamini kama mamlaka ya Magufuli kwa mwaka 2020-25 imetoka kwa Mungu. Kwa kweli hata ukinichuna ngozi nichune ila MAGUFULI mamlaka yake HAIJATOKA kwa MUNGU BALI alijitwalia mamlaka kwa kuiba uchaguzi kwa kusaidiwa na TISS, NEC na Poilce.
Basi kama huamini tumia imani yako kufanya yanayokupasa na Mungu atafanya anayoyataka. Usivae viatu vya Mungu bali fuata maagizo yake
 
Naunga mkono hoja.
Binafsi mimi ni mkristo, naamini katika Neno la Mungu na si katika mtu, nimebatizwa na nimejazwa Roho mtakatifu.

Kuna maandiko yanatumiwa na watu wachache ili kuhalalisha haramu au kujijipendekeza kwenye mamlaka ili tu wapate wanalolihitaji kutoka kwa viongozi.

Wakati mwingine hofu ndio msingi wa kuhubiri Injili kwa uso wenye haya.

Kama mamlaka zote zimepata baraka toka juu je?

1.Viongozi kama Hittler (ex-German's Fuhrer) aliyewaua mamilioni ya Waisraeli ile mamlaka ilitoka mbinguni?

2.Je, Viongozi kama Idd Amini walioingia kwa kuipindua nchi ni mamlaka iliyopaswa kuitii na kuiombea kwakuwa mamlaka zote zimetoka kwa Mungu?

3. Nimeona wanasiasa wakienda kwenye nyumba za aganga wa kienyeji ili kunyoosha mapito yao na baadaye kushika nafasi kama Ubunge, udiwani na u DC.

Je, watu kama hawa mamlaka zao zimetoka kwa Mungu?

Huu ujinga umewaingia Hadi viongozi wakubwa wa dini kuwapumbaza watu kwa kuwadanganya Ili kuhalalisha ukada wao sababu wao ni wanufaika wa Mali ya udhalimu.
 
Vitu vingine atasijui huwa wanafikiria nini? Umedai risiti ya viatu dukani ukifika nyumbani unaifanyia nini hiyo risiti zaidi ya kuitupa tu? Hiyo process imesaidia vipi kuzuia ukwepaji kodi?

Utakamata watu wangapi kwa siku ambao hawajadai risiti na inafaida gani zaidi ya kuwapiga fines tu au tuite (uporaji unao halalishwa na mamlaka), yaani mtu aende shopping ya kawaida ya nyumbani kwake kila duka adai risiti hiyo wallet si itakuwa imejaa makaratasi tu mpaka arudi nyumbani.

I can understand walau wangesema manunuzi ya zaidi ya 500,000 kwa mkupuo lazima uchukue risiti.

Lakini kutaka kulazimisha watoto wachukue risiti hata za pipi dukani it’s stupid to say the least. Halafu ata sijui how you’d police this kutakuwa na stop and search njiani mtu akionekana na mfuko wa shopping unasimamishwa uonyeshe risiti.

It’s just stupid, there are better methods of auditing business kuliko kusumbua wananchi.
Ndiyo tunaona kama kuna kausumbufu fulani
Lakini risit inaumuhimu wake kwako pia
Kiusalama etc
Sema approach wanayoitumia siyo nzuri
Watu kama sisi tayari tunajua umuhimu wa kuchukua risit haitaji tena tuanze kutishana
Na ma fine

True hasa ukibiwa vitu na vikapatikana utavipataje pasipo risiti ukienda polisi
 
Omba tu risiti wakati wote ndugu yangu maana Ukipatikana utahama huko kwenye umeme wa sola uende kwenye ugali wa bure wa serikali.
Kwa nini majukumu ya TRA yanahamishiwa kwa raia? Ni jukumu la muuzaji kutoa risiti, na jukumu la TRA kuhakikisha kila mfanyabiashara anatoa risiti. Si jukumu la mlaji kumlazimisha mfanyabiashara atoe risiti. Watulipe basi.
 
Hata kama wako madarakani kwa kuwezeshwa na mitutu ya bunduki. Sidhani kama Mungu ana maana hiyo, watu ndio hupotosha kukidhi matakwa yao.
Umenikumbusha vita za kwenye maandiko matakatifu Mungu alivyokua anawainua watawala aliowapenda😅😅

Mungu ibariki Tanzania
 
Hata kama wako madarakani kwa kuwezeshwa na mitutu ya bunduki. Sidhani kama Mungu ana maana hiyo, watu ndio hupotosha kukidhi matakwa yao.
Hili la mamlaka zote zimetoka kwa Mungu talipinga hata nikikutana na Mungu,
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti.

Endapo utakamatwa umenunua bidhaa au Huduma na hauna risiti basi utapigwa faini ya kati Tsh. 30,000 na 1,500,000 kwa mujibu wa kanuni za sheria ya kodi.

Kumbuka kudai risiti kila wakati.

Maendeleo hayana vyama!
Imekuwa nchi ya vitisho tu kila siku! Dah..,.
 
Tunapoelekea itakuja "ukikutwa na mwanamke wa mtu, au ambae hujaoa, faini laki 3"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha vita za kwenye maandiko matakatifu Mungu alivyokua anawainua watawala aliowapenda[emoji28][emoji28]

Mungu ibariki Tanzania
Ahh mama d naona unatupa neno la mungu mama d uko vzr kila sekta[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Ndiyo tunaona kama kuna kausumbufu fulani
Lakini risit inaumuhimu wake kwako pia
Kiusalama etc
Sema approach wanayoitumia siyo nzuri
Watu kama sisi tayari tunajua umuhimu wa kuchukua risit haitaji tena tuanze kutishana
Na ma fine

Ova
Ndugu ngoja nikupe mifano miwili kutoka kwenye orodha ya details unazotakiwa kuweka kwenye receipt (kwa mfanyabiashara).

Mimi ndio afisa wa TRA nakushuku wewe ulipi VAT yako sahihi.

Matakwa ya sheria yanasema kila risiti iwe numbered yaani 1, 2, 3, 4 and so forth.

Kama nakukagua nakuomba invoice ya suppliers wako si zina record number na nini ulinunua. Namrudia yeye nionyeshe record ya number za receipt nilizochukua kwako inanipa picha ulinunua nini na thamani yake.

Narudi kwako nionyeshe hii stock either as remaining inventory au receipt za mauzo kujua zimeenda wapi; I expect things to balance.

Sasa wakisema waanze kuchunguza mtu mmoja na kurudi nyuma mpaka bidhaa inapotoka hakuna mtu anaweza kwepa VAT huko chini labda wizi uanzie kwa mzalishaji wajuu. Lakini kuanzia kati kati hilo aliwezekani.

Bado hapo kuna maswala ya bank reconciliation ya business account yako kuona manunuzi yako na m mauzo kama vinauwiana wanaweza kurudi na kumfanyia bank reconciliation aliekuuzia.

In short kwenye hiyo list ya receipt yenye mambo zaidi ya kumi wanayotaka uweke pamoja na records zingine; inawasaidia kwenye auditing. You can’t cheat them.

The only way a retailer can avoid paying VAT labda kama hizo bidhaa aliemuuzia kaziingiza nchini kimagendo TRA awazijui au mzalishaji wa juu kabisa ana watu wake wanaouziana kimagendo (hiyo ndio namna pekee mtu anaweza kukuuzia bila ya kukupa receipt kwa bei cheap) and that is bigger problem if caught.

Otherwise VAT is traceable bila ya hata wewe kuchukua receipt kutoka dukani if you are the final consumer.

Kuelezea hiyo receipt ina maana gani na record unazotakiwa kuweka ni kama 10000 words, ila with that info mfanyabiashara awezi kwepa VAT mjomba or else someone will be caught in the supply chain if forensic auditing is conducted na ukikamatwa kosa lake ni kubwa zaidi not worth trying, wahindi nchi za wenzetu pamoja na kupenda fraud VAT wanajua hiyo sio sehemu ya kujaribu.
 
Back
Top Bottom