TRA: Ukinunua bidhaa na usipodai risiti utapigwa faini ya kati ya Tsh. 30,000 na Tsh. 1,500,000

Ukinunu kwa machinga inakuwaje?
 
Na bado, JK aliendesha nchi vizuri na alikuwa anakusanya bil 900, nyinyi mnaokusanya Trilioni 2 mnanyonya damu wananchi, bado kodi ya "KUWEZANA" tu ndio TRA wamebakiza.
JK alikuwa hatakusanyi ada za shule, vyuo, mortuary, mabango, kodi ya ardhi, kodi ya jengo, sijui nini, vyote
 
Kudai receipt ni uzalendo VAT na Income tax inapotea sana kwasababu wapo wafanya biashara sio waaminifu kabisa.
 
Nkitoka kuongeza mafuta nkaulizwa risiti,nkawajibu Bei juu sjaweka wanipe ushahidi kuwa nimejaza wese
Risiti iko connected na pampu Sasa inakuwaje nijaze risiti kwenye gari?

Muhimu wachunguze Kama kituo kimedisconnect risiti na pampu
 
TL aliliona hili mapema?Kama alilisemasema hivi!!!!!
 
Ninataka nitoke kidogo nirudi dakika ya 89 aisee kama mzee Membe
Achana na hizo mambo fundi25, maisha hayakosi changamoto na amini kwenye kila changamoto kuna faida na fursa pia
 
Kabisa mkuu.wanatumia maneno kuharalisha hadi maovu yao.
 
Kwa point yako swali la kujuiliza kwanin YESU aku surrender kwa mafarisayo na herode mpaka wakamtumia YUDA, Kuna upotoshaji mkubwa sana unaofanywa kupitia biblia

Kuna nchi zinalazimisha ushoga kwa hiyo tuzitii mamlaka Kama hizo hapana
 
Ni mwanya mwingine wa rushwa hao wanaokamata watu watachukua sana rushwa
 
Kwa point yako swali la kujuiliza kwanin YESU aku surrender kwa mafarisayo na herode mpaka wakamtumia YUDA, Kuna upotoshaji mkubwa sana unaofanywa kupitia biblia

Kuna nchi zinalazimisha ushoga kwa hiyo tuzitii mamlaka Kama hizo hapana

Kila maandiko yanachokikataa na mamlaka ya waaminio inakataa pia

Maandiko matakatifu yanaukataa ushoga na mamlaka za nchi zinaukataa ushoga na umma wa watanzania uliwakataa waliotaka mamlaka huku wakitetea na kuhamasisha ushoga
 
Sio useme tutii kila mamlaka unapotosha
 
Ikiagizwa sample ya watu wasio na akili wewe unawakilisha Watu 100,000
 
Sio useme tutii kila mamlaka unapotosha
Sijasema mimi mkuu, ila yamesema maandiko kwa waumini

Warumi 13 ".......1 ila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
2 Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu."

Quran 4:59 "O ye who believe! Obey Allah, and obey the Messenger, and those charged with authority among you...."

Musa alitoa onyo sawa katika Kumbukumbu la Torati 4: 1-2, ambako aliwaonya Waisraeli kuisikiliza na kutii amri za Bwana, wala kuongezea au kuondoa kutoka Neno Lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…