TRA unahimiza matumizi ya EFD halafu mnawazimia wafanyabiashara kuzitumia kwa Ujumbe 'Device Blocked by TRA'

Ukiona mpaka EFD mashine imekuwa blocked, ujue hao wafanyabiashara ni defaulters linking!. Siku hizi kukiwa na issues zozote, kwanza unatumiwa SMS, kisha unapigiwa simu ufike TRA, ukikaidi ndipo sasa EFD machine inakuwa blocked na ujumbe ufike TRA.
P
Paskali hakuna namna nyingine ya kumuuita huyu tax defaulter. Ku disable EFD devices unilaterally ni njia isiyo ya kistaarabu sana na inamuumiza mteja ambaye hausiki tatizo.
 
Huna Deni Tra Mkuu? Mhusika Tra anaweza Block machine kukuita mkayazungumze Ofisini.
Mkuu hata kama mtu ana deni- huwezi tumia njia ya hivi- ni kheri wafunge biashara kabisa. Inawezekana wameacha kufunga biashara kwa sababu itaonekana na Mama SSH alishakataza badala yake wao wamebuni njia mpya ya kushugulika na biashara ambayo kwa bahati mbaya inaumiza wateja wasio husika.
 
Na waTz tulivyo jeuri anasubiri mpaka ifungwe ndo aende uskute hapo alishapigiwa simu sana aende na kuleta dharau anasubiri aseme anaonewa.
Watanzania wote tumekuwa wanaharakati tunafanya makosa ili tukosane
 
Mwigulu Anaendelea Kusagiwa Kunguni Mpaka Anuke
 
Wako wafanyabiashara kadhaa EFD zao zimezimwa na TRA na zinaonyesha ujumbe mzuri kabisa DEVICE BLOCKED BY TRA bila kusema sababu.

Hii inawezekanaje wakati ambao TRA inahamasisha toa risiti dai risiti?!
Hii ilishawahi kunitokea, kila nikitoa risiti inaandika DEVICE BLOCKED nikawafata TRA wakanambia kuna mzigo wangu wameukamata transport nikawaambia mi mbona sina mzigo uliokamatwa ndo wakanionesha risiti ya dukani wakasema kuna mzigo wa rim wameukamata ukiwa na risiti pungufu. Kumbe mteja tulimuuzia betry na tukampa na risiti ya betry ila yeye akatumia ile risiti kusafirishia mzigo wake wa rim
 
Paskali hakuna namna nyingine ya kumuuita huyu tax defaulter. Ku disable EFD devices unilaterally ni njia isiyo ya kistaarabu sana na inamuumiza mteja ambaye hausiki tatizo.
EFD ni mali ya TRA na inanunuliwa na TRA unapewa bure. Ndio the last resort ya kumuita defaulter.
Lazima aende TRA
P
 
Wako wafanyabiashara kadhaa EFD zao zimezimwa na TRA na zinaonyesha ujumbe mzuri kabisa DEVICE BLOCKED BY TRA bila kusema sababu.

Hii inawezekanaje wakati ambao TRA inahamasisha toa risiti dai risiti?!
Hawa washenzi sana, wakikufungia mashina hivyo, haraka sana funga duka lako hadi utakapo resolve issue. Wakikukita unaendelea na biashara wakati EFD imefungiwa wanakupiga faini hadi milioni 4.5, mbwa kabisa
 
Na waTz tulivyo jeuri anasubiri mpaka ifungwe ndo aende uskute hapo alishapigiwa simu sana aende na kuleta dharau anasubiri aseme anaonewa.

Paskali hakuna namna nyingine ya kumuuita huyu tax defaulter. Ku disable EFD devices unilaterally ni njia isiyo ya kistaarabu sana na inamuumiza mteja ambaye hausiki tatizo.
Hili imeshanitokea na mimi, kukiwa na issue ndiyo njia wanatumia kukuita ofisini bila hata ya kuwasiana wakati wana simu, location na email yako.
Hawa jamaa wana very poor and unprofessional work ethics.
Sijui wasimamizi wao watakuwaje na kama wanaona ni sawa
 
Efd sio bure, inauzwa laki 5 mpaka 8 inategemea walivyoamka
Mkuu EFD machine ni bure,
Kuwa ukinunua, unatakiwa kuidai katika malipo yako ya kodi ya mbele.

Mfano ukafanya makadirio ya mwaka ukatakiwa kulipa kodi laki 9, unatoa hiyo 580k then unalipa iliyobaki.

Kwa wenye VAT unakata kwenye VAT amount yote.

Lakini ufanye hayo au utoe taarifa ndani ya miezi 6 toka umenunua.

Hii taarifa huwa hawaitoi mpaka uwe na mhasibu anayejua hii sheria.
 
EFD ni mali ya TRA na inanunuliwa na TRA unapewa bure. Ndio the last resort ya kumuita defaulter.
Lazima aende TRA
P
Paskali uko sawa but subject to refund/compensation. Na watu wengio hawa claim fedha wanazotumia kununulia EFD kwa niaba ya TRA na TRA wanakaa kimya wanaona ni sawa. They are taking advantage of our ignorance big time evoking the relevance of this quote the ancient Sumerians had a saying, "you can have a lord, you can have a king, but the man to fear is the tax collector!"
 
Mkuu EFD machine ni bure,
Kuwa ukinunua, unatakiwa kuidai katika malipo yako ya kodi ya mbele.

Mfano ukafanya makadirio ya mwaka ukatakiwa kulipa kodi laki 9, unatoa hiyo 580k then unalipa iliyobaki.

Kwa wenye VAT unakata kwenye VAT amount yote.

Lakini ufanye hayo au utoe taarifa ndani ya miezi 6 toka umenunua.

Hii taarifa huwa hawaitoi mpaka uwe na mhasibu anayejua hii sheria.
Hii dhana ya EFD ni bure hakuna anayeweza kuilewa. EFD inanununliwa na mfanya biashara ila kama anauelewa anaomba kurejeshewa kupitia punguzo ya kodi anayopaswa kulipa. Ki uhalisia haendi hiyo -wengi wanaishia kupoteza fedha zao
 
Mkuu EFD machine ni bure,
Kuwa ukinunua, unatakiwa kuidai katika malipo yako ya kodi ya mbele.

Mfano ukafanya makadirio ya mwaka ukatakiwa kulipa kodi laki 9, unatoa hiyo 580k then unalipa iliyobaki.

Kwa wenye VAT unakata kwenye VAT amount yote.

Lakini ufanye hayo au utoe taarifa ndani ya miezi 6 toka umenunua.

Hii taarifa huwa hawaitoi mpaka uwe na mhasibu anayejua hii sheria.
Shukran kwa Taarifa sikulifahamu hili.
 
Back
Top Bottom