TRA Wakanusha taarifa zilizoandikwa JamiiForums kwamba Mtandao wao Unasumbua, Waziita uzushi

Sawa..Hilo tumewaelewa...Mbona siku hizi hamtangazi pesa mlizokusanya kama mlivyokuwa mnafanya zamani? Tutajuaje kama mnaendelea kuvuka malengo, au mko palepale au mmeshashuka chini?
 
Najua tarehe tajwa tin ilishindikana kuibadili kutoka ya biashara kuwa ya mtu binafsi kutokana na matatizo ya mtandao. Sasa wafanyakazi wao wanatudanganya wateja, au wakanushaji wajitekenya na kujicheka wenyewe, wanajua linaloendelea? Hiyo ilikuwa Ta, mikoa mingine sijui.
 
Reactions: BAK
Lawson wenyewe "nasikia" "umesizi" madaraja ya watumishi mjiandae kucheleweshwa kwa namna moja ama nyingine kama kweli taarifa hiyo ya mfumo kushindwa kufanya kazi ni sahihi
Manispaa za Ilemela na Nyamagana jijini Mwanza hadi leo kuna watumishi lukuki misshahara yao haijaingia....tatizo "MFUMO UKO DAWN" tangu tuneacha kulipwa mishahara kupitia dirishani sasa mifumo umeanza kuzima kwa siku kadhaa...
Enzi za Jiwe kuna watu sasa hivi wangekuwa kijijini kwao kwa kusababisha usumbufu huu, mtumishi wa nchi hii tena nesi akose mshahara kwa siku tatu maisha yake yakoje hapa mjini?
Tukisema nchi ipo kwenye "autopilot" tunaambiwa ni waha gang....pumbavu Sana! Subiri muone makusanyo ya TRA ndio mtajua tumeishapigwa 6 - 0 kipindi cha kwanza dk ya 10 tu!
 
Lawson wenyewe "nasikia" "umesizi" madaraja ya watumishi mjiandae kucheleweshwa kwa namna moja ama nyingine kama kweli taarifa hiyo ya mfumo kushindwa kufanya kazi ni sahi
Kesho sijui taasisi gani itasemwa mimi hapa nipo na tax consultant yangu naona mifumo yao TRa ipo sawa na mpaka VAT niliweza kufile ,sasa na hii ya lawson tena kesho tutasikia na lingine.Hebu tuache kidogo kupotosha
 
Sawa..Hilo tumewaelewa...Mbona siku hizi hamtangazi pesa mlizokusanya kama mlivyokuwa mnafanya zamani? Tutajuaje kama mnaendelea kuvuka malengo, au mko palepale au mmeshashuka chini?
Zile ripoti za makusanyo zilikuwa za uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…