Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Duh.Hahah
Ebwana sijakusahau mwanangu
Lazima TPA pale tupashike....😂😂
Wenyewe
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.Hahah
Ebwana sijakusahau mwanangu
Lazima TPA pale tupashike....😂😂
Wenyewe
Ova
Anza kuthibitisha taarifa yako, maana umeongea tu kama kasukuTuendelee kuipenda tz yetu. Thibitisha kama huo ni uongo
Umeiita direct ni uongo. Thibitisha kuwa taarifa ni ya uongoAnza kuthibitisha taarifa yako, maana umeongea tu kama kasuku
Hivi huu uongo mnaotunga mnapata faida gani?
Manispaa za Ilemela na Nyamagana jijini Mwanza hadi leo kuna watumishi lukuki misshahara yao haijaingia....tatizo "MFUMO UKO DAWN" tangu tuneacha kulipwa mishahara kupitia dirishani sasa mifumo umeanza kuzima kwa siku kadhaa...Lawson wenyewe "nasikia" "umesizi" madaraja ya watumishi mjiandae kucheleweshwa kwa namna moja ama nyingine kama kweli taarifa hiyo ya mfumo kushindwa kufanya kazi ni sahihi
huo ndio ukweliJf inanguvu bwana
Ova
Hahahaha, wabongo wamekuwa wazushi sanaHuku kwetu juzi watu walipigiana simu kuwa tra wanapita kila duka wakidai kodi , watu wakafunga biashara kumbe ni halmashauri wanaakagua leseni zao
Kesho sijui taasisi gani itasemwa mimi hapa nipo na tax consultant yangu naona mifumo yao TRa ipo sawa na mpaka VAT niliweza kufile ,sasa na hii ya lawson tena kesho tutasikia na lingine.Hebu tuache kidogo kupotoshaLawson wenyewe "nasikia" "umesizi" madaraja ya watumishi mjiandae kucheleweshwa kwa namna moja ama nyingine kama kweli taarifa hiyo ya mfumo kushindwa kufanya kazi ni sahi
Mkatiko wa mtandao mbona umezoeleka tu kwenye hiyo idara?
JF ni baba lao, ila wanaoivuruga JF ni ma moderators, kuna taarifa nyingi muhimu humu jukwaani tunaweka kuhusu utendaji wa serikali ila wanazifuta.Jf inanguvu bwana
Ova
Hao watakuwa wanufaika wa mwendazake/ sukuma Gang.Michadema ya JF ni wazushi hakuna mfano
iliandikwa na Jamii Forums
Zile ripoti za makusanyo zilikuwa za uongoSawa..Hilo tumewaelewa...Mbona siku hizi hamtangazi pesa mlizokusanya kama mlivyokuwa mnafanya zamani? Tutajuaje kama mnaendelea kuvuka malengo, au mko palepale au mmeshashuka chini?