TRA Wakanusha taarifa zilizoandikwa JamiiForums kwamba Mtandao wao Unasumbua, Waziita uzushi

Huu ndiyo uwajibikaji.
TRA hakikisheni mambo hayakwami
 
Hii taarifa ya ukanushaji imelenga nn, maana huko kwenye mitandao convetor za tra hazifanyi kazi. Maana yake ukitaka makadirio lazima uende physically ofisi za tra? Hata wenye biashara za kuagiza magari wameshindwa ku kutumia mtandao kupata makadirio na Hata muda huu nimeingia najibiwa huduma hiyo kwa sasa hapatikani. Labda nakosea naomba maelekezo plse
 
Mbona mm nimetapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…