mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ili mumnange mamaSawa, si ndio za ukweli zitolewe sasa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili mumnange mamaSawa, si ndio za ukweli zitolewe sasa.....
Siku zote au sio konsatanti?Mbona mimi nipo nafanya biashara yangu ya consultation mtandao wao upo fresh tu jamaa zetu wa kodi?
Kwani ripoti mbona waliacha kitambo hata kabla mwendazake hajaenda zake hata hatukuelezwa sababu labda baada ya akaunti walizochota mapesa ya wenyewe kukauka basi biashara ikaisha...Sawa, si ndio za ukweli zitolewe sasa.....
Hamna mtandao, watatangaza aje?Sawa..Hilo tumewaelewa...Mbona siku hizi hamtangazi pesa mlizokusanya kama mlivyokuwa mnafanya zamani? Tutajuaje kama mnaendelea kuvuka malengo, au mko palepale au mmeshashuka chini?
Na waongo wa TRA nao watasafisha aje jina la JF.Kulinda heshima ya JF, huyo aliyeleta taarifa za uzushi bila ya ushahidi wowote asiachwe bila kuwajibishwa kwa njia inayofaa watakayoona inafaa.
JF isifanywe kuwa kituo cha majungu na habari zisizokuwa na ukweli wowote.
Wahimize mamlaka inayowahusu itachukua hatua hizo kama kuna uongo toka kwao.Na waongo wa TRA nao watasafisha aje jina la JF.
System ya Lawson ni majanga ni mwezi sasa hamna kinachofanyika ni aibu iko huko hazina na utumishi awamu hii ni kupopoma tu.Lawson wenyewe "nasikia" "umesizi" madaraja ya watumishi mjiandae kucheleweshwa kwa namna moja ama nyingine kama kweli taarifa hiyo ya mfumo kushindwa kufanya kazi ni sahihi
Huu ni utopolo kuna ofisi za TRA watu wanajibiwa majibu ya mtandao hakuna bila cctv camera ufanisi ni vibanda mchambawima na mwanamkateTRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua.
Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake.
Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na Hitilafu yoyote.
TRA imewataka Waipa Kodi kuendelea kulipa kodi.
Zaidi, soma; Rais Samia ingilia kati, TRA watatukwamisha
View attachment 1800218
Wee nae kwa kukurupuka hujambo 🤣🤣 fuatilia mamb kwanza humu, kundi lile ndilo lilikua na propaganda hizo ili tu ionekana utawala huu haufai.Michadema ya JF ni wazushi hakuna mfano
Hapana..sio kumnanga. Ili tujue tu...kama tutaendelea kubaki kwenye uchumi wa kati..Ili mumnange mama
Huu Uzi wako nzuri sana utengenezewe kichwa chake.Lawson inalalamikiwa sana hii wiki ya tatu benki zote zinalalamikia tatizo hili.System ya Lawson ni majanga ni mwezi sasa hamna kinachofanyika ni aibu iko huko hazina na utumishi awamu hii ni kupopoma tu.
Hakika naamini wadau wa headings walione hili ili Mchengerwa na Mwigulu walione kwa ukubwa wake.Huu Uzi wako nzuri sana utengenezewe kichwa chake.Lawson inalalamikiwa sana hii wiki ya tatu benki zote zinalalamikia tatizo hili.
Wewe ndiye mkurupukaji sasaWee nae kwa kukurupuka hujambo 🤣🤣 fuatilia mamb kwanza humu, kundi lile ndilo lilikua na propaganda hizo ili tu ionekana utawala huu haufai.
Kwepa kodi tens weka tin yako ndiyo utajua kama ukweli au uongo mtandao Hanna.mbona kodi ya gari nimelipia Jana??Hamna mtandao, watatangaza ajekwepa
Si unabambikiwa tu, unafikiri ni mpaka ukwepe?Kwepa kodi tens weka tin yako ndiyo utajua kama ukweli au uongo mtandao Hanna.mbona kodi ya gari nimelipia Jana??
Ok... Kwa kutumia the same argument, na leo ungekaa kimyaMimi sio msemaji wa TRA.
Unanipangia? Naongea experience yangu huwezi kunipangia. Sijakulazimisha ukubaliane na nilicho-experience.Ok... Kwa kutumia the same argument, na leo ungekaa kimya