Nina uhakika kwasababu tumefika hadi chuo cha kodi mwenge na tukaenda kutoa malalaiko makao makuu stesheni pale posta na tukaishia kuambiwa tuandike majina na namba za simu watatupigiaUna uhakika gani niwao?
Hapana amna alietoa kauli ya jeuri kazini zaidi ya kuambiwa vyeti vyetu haviendani na kada siko peke anguInawezekana uliwatolea kauli za jeuri hapo kazini.
Uliomba kada gani na ulitumia cheti cha kozi gn kuaapply na je iyo kozi yako ilitajwa kama entry qualifications?. Wenzako walitumia cheti cha marketing, banking and finance, business administration without majoring in accounting kuomba kada ya customs na TMO wamepigwa chini. Uzembe ulifanyik kipindi cha ukaguzi wa vyeti coz watu walikuw wengi.TRA walinipigia simu mwezi Julai na kuniambia kuwa nimechaguliwa kupitia database. Hadi sasa hawajapiga tena simu, licha ya kutuambia tuandike majina yetu. Na mimi si peke yangu, wapo vijana wengine walio katika hali kama yangu.
Tulielezwa kuwa vyeti vyetu haviendani na kada tulizoomba, jambo ambalo si kweli, kwa sababu vyeti vyetu vinaendana na kada hizo. Tulipofika makao makuu, tuliambiwa tuandike majina, kada tulizoomba na namba za simu, huku tukihakikishiwa kuwa tutapigiwa simu na tusiwe na wasiwasi. Hata hivyo, hadi leo hakuna aliyewasiliana nasi.
Jambo hili limeniletea madhara makubwa. Kwa mfano, mimi niliomba ruhusa kazini nilipokuwa nafanya kazi, lakini nikanyimwa. Nililazimika kwenda kuitikia wito wa TRA licha ya kukosa ruhusa, na hatimaye nikafukuzwa kazi kwa sababu hiyo. Mpaka sasa sina kazi.
Kwa kweli, hali hii ni kero kubwa na inatuumiza sana sisi vijana tunaopambana kujitafuta. Tunaomba TRA itoe ufafanuzi kuhusu suala hili ili tujue hatma yetu na tusibaki katika hali ya kutokuwa na uhakika kuhusu maisha yetu.
Course au Programme?Uliomba kada gani na ulitumia cheti cha kozi gn kuaapply na je iyo kozi yako ilitajwa kama entry qualifications?. Wenzako walitumia cheti cha marketing, banking and finance, business administration without majoring in accounting kuomba kada ya customs na TMO wamepigwa chini. Uzembe ulifanyik kipindi cha ukaguzi wa vyeti coz watu walikuw wengi.
Course ni related pia tumefikiriwa gharama tulizotumia na je imefikiriwa tumepoteza vitu vingapi kwa hii loss of time iliofanyika???? Piabkama mtu amefaulu interview it means yupo smart kufanya iyo kazi why arudishwe nyumbani?????Uliomba kada gani na ulitumia cheti cha kozi gn kuaapply na je iyo kozi yako ilitajwa kama entry qualifications?. Wenzako walitumia cheti cha marketing, banking and finance, business administration without majoring in accounting kuomba kada ya customs na TMO wamepigwa chini. Uzembe ulifanyik kipindi cha ukaguzi wa vyeti coz watu walikuw wengi.
Haya mfano mimi nipo jobless sasahivi ? Nifanyeje nimeitikia wito then nakuja kuambiwa cheti hakiendani na kada na nlkua na kazi yangu ila kusafiri na kupoteza mda kumenifanya nikose kazi yagu ya awali je is it ok?Course ni related pia tumefikiriwa gharama tulizotumia na je imefikiriwa tumepoteza vitu vingapi kwa hii loss of time iliofanyika???? Piabkama mtu amefaulu interview it means yupo smart kufanya iyo kazi why arudishwe nyumbani?????
ProgrammeCourse au Programme?
Mmh! Kwa customs Accounting and Finance, Accounting, Law ndiyo degree zake unaenda kuhusika moja kwa moja na ukusanyaji wa Kodi na EnforcementMarketing (customs assistant ll)