TRA wamekuja ofisini kwetu wakitaka kukagua hesabu za 2012 Hadi 2017

Out of interest, unafanya biashara gani?
 
mtu anakwepa kodi sababu ni masikini

Tatizo hapa ni umasikini....
Kodi ni story ndefu and I am tired for now.

Ila kumbuka kodi Tanzania aijawahi lalamikiwa na wahindi wala wazungu; isipokuwa wabantu.

Hivi unajuwa Tanzania capital allowance ni 100% unajuwa maana yake kwenye kupunguza kodi na kushwawishi uwekezaji.

Niamini hawa watu awajazoea kulipa kodi; issue ni VAT na hapa kuna shida kwa wajasiriamali wadogo wadogo corner shop shouldn’t have to pay that.

Why so story ni ndefu na ni ujinga kuona TRA wanavyoangaika na frames. Hila kwa watu wenye mitaji mikubwa kukwepa kodi given capital allowance is 100%.

👋
 
Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?

Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma.

Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.
TRA wana matatizo sana. Wanasema eti audit haina kikomo. Wanajua utakuwa huna dicuments kwahiyo wanataka kupitia hapo
 
MimI najua kisheria wanatakiwa wakague miaka mitano kurudi nyuma ,otherwise hapo chini ndion inavyosema anagalia kwenye website ya TRA.So wanatakiwa wakague mahesabu ya 2020,2019,2018,2017 na 2018 tu.

What records should be maintained by a taxpayer?
These documents shall be retained for a period of at least five years from the end of the year of income or years of income to which they are relevant, unless the Commissioner specifies otherwise by notice in writing.

Where any document is not written in an official language of the United Republic of Tanzania, the Commissioner may, by notice in writing, require the individual to provide, at the individuals expense, a translation into an official language by a translator approved by the Commissioner in the notice.
 
Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?

Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma.

Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.
Nitumie namba zao niwashauri kitu hao jamaa

USSR
 
Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?

Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma.

Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.

Hakuna sector ninaichukia na inasumbua wafanyabiashara kama TRA, TANESCO upande wao,,, Viburi vimewazidi hawa viumbe. Kama ni somalia alshabab wangesambaratisha wote hawa.
 
Nchi hizo zinajitambua siyo mapoyoyo kama Tz
 
Mienendo ya biashara yako inatakiwa isiwe na mashaka wape ushirikiano mara nyingi hizi taasisi huwa zinakusanya taarifa kutoka kwenye vyanzo vingi kuhusiana na kukuza taasisi yao.

Jitahidi kuepuka migogoro na wafanyakazi wa kampuni yako maana hao ndio wanaojua kila ukweli wa mambo kwenye hiyo kampuni,unaweza ukafukuza mtu kazi nayeye akaenda kukuchoma
Iwe kwa indirect au direct
 
Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?

Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma.

Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.
Ndiyo umekuja kuandika huku sio
 
Sheria inakutaka utoe nyaraka wanazozitaka maafisa wa seriakali wawe watu TRA, NSSF, PSSSF nk as long as walikupa notification watapita mengine hayo mnahojiana tu na kuyajenga acha kuwa muoga
 
Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?

Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma.

Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.
Mkuu imekuaje huko?
 
kwan serikali inaongozwa na wachina

acha uchochez hiyo sumu unataka ileta bongo hatuitaki

Naipenda nchi yangu na natimiza wajibu kama raia mwema wa Tanzania

Longo longo peleka Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…