TRA wamekuja ofisini kwetu wakitaka kukagua hesabu za 2012 Hadi 2017

Hakuna tatizo unless kama mlitupa hizo data...
 

acha uchochezi Serikali ni muhimili unasimamia maslai ya wananchi na unaundwa kwa matakwa ya wananchi , hatuez kukubaliana kuchangia kodi serikalini kwa maendeleo yetu halafu mtu mmoja kama wewe unataka kuleta ujanja ujanja kwa kutugawanya wananchi eti wananchi tusiunge mkono serikali yetu
 
Fuatilia uhalali wa hao staff kutoka TRA. Wako tapeli wengi wanajifanya TRA officers.
 
Tofautisha Tax Audit vs Tax Investigation
 
tii sheria bila kushurutishwa! Kuna mawili wanaweza wakawa wamekutoza kodi zaidi, huoni kama watakurudishia? Na kama umelipa kidogo utalipa balance pia! Usijaribu kuhonga! kulipa kodi stahiki ni jukumu na uzalendo mkuu!
Kwamba watawarudishia sio?Uliza wale wa VAT refunds Wana Hali gani?
 
Magu mwenyewe aligoma kabisa wafanyabiashara kupewa VAT refunds zao,majuzi Kati tu hapa Samia ndio ame refund Tsh.500bil na bado Kuna tsh.300bil bado zinadaiwa.
 
Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?

Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma.

Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.
Hao wanataka rushwa vipi umewapa?
 
Nini maana ya tax clearence? Ilipaswa ukipewa hiyo unaanzia hapo kwenda mbele unless kuna sababu ya msingi sana. Kuna uzembe sana kwenye taasisi ya kodi. Ndo maana nasema wataalam watumike.
you know nothing about taxation
 
hujui kitu,
Mkuu asichokijua ni nin?Binafsi naamini kwamba kwenye swala la kodi lazima kuwe na ukomo wa ni muda gani kurudi nyuma kodi hukaguliwa na iwapo kuna ushahidi wa TAX fraud pia ni muda gani kurudi nyuma unapaswa kufuatiliwa.

Vile vile kuna jambo moja ambalo lazima lieleweke.TRA hawaji tu ofisini kwako na kudai records bila kuwa na basis,lazima kuwa na Basis ya kila jambo ikiwamo audit.Ndio maana hata wakikupa TAX clearance wanao uwezo wa kujankudai pungufu lakini lazima wawe na msingi wa hoja yao na wawe wazi.

Suala la kulipa kodi na kukusanya kodi halipaswi kuwa la kuviziana na kuwindana bali linapaswa kuwa la wazi kabisa kwa pande zote mbili.

Hata hivyo TRA yetu haina watumishi weledi na waaminifu bali wao huamka asubuhi na kuanza kutafuta mchawi na mapato hata kwa dhuluma na wizi.lazima tukatae mfumo wa kodi wa namna hio.

Kama sheria inasema ni 5 years basi akitaka zaidi ya 5 years lazima aseme sababu tena za msingi.
 
you know nothing about taxation
Mkuu,naona wewe ndo hujui chochote kuhusu Taxation na kutokujua.Kama unajua toa jibu ambalo liko wazi.Sheria inasema miaka 5 back?Je inatoa rooma ya kuzidisha miaka zaidi?Inatoa utaratibu wa kufanya katika kutaka kukagua records za miaka ya nyuma?Je ina ainisha wajibu na haki za mlipa kodi na wajibu na haki za afisa mkusanya kodi?
 
Sasa Capital allowances kua 100% si Ni kawaida tu hio mkuu,kutegemeana na pool na pool na njia itayayotumika reducing/straight ndio itaamua miaka mingapi ya ahueni utapata.

Sijaona Kama Ni big deal maana hata wenzetu kwny capital allowances mwendo ni huo huo tu.
 
Tax investigation is different from tax audit, normally, when investigation is carried out into your tax affairs, there is enough evidences of tax evasion, either obtained from within or other stakeholders. Once there is suspicion of fraud, there is no time limit, the investigation scope becomes wider. Sijui unanielewa? Hapa hakuna kuviziana. weka kumbukumbu, produce them on demand basi.

Watanzania wengi hawapendi kujishughulisha kuyaelewa maswala ya kodi, ni ujuaji tu. someni sheria za kodi zipo kwenye mtandao wao.
Nakushauri next time unashida ya kikodi, do not seek advice from social media, tafuta a knowledgeable person or go to TRA uelekezwe. Kwenye social utakutana washauri vichefuchefu.
 
Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?

Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma.

Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.
Tupe mrejesho mkuu!
 
Tofautisha capital allowance na depreciation.

In some instances capital allowances receive full investment re-claims from profits in one go, and not in chunks as in depreciation.

Tanzania sijaona maximum amount set to be claimed on capital allowances. Makes it very easy to abuse the tax system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…