Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Rudi shule ukafute ujinga
Mmmhh uzidishe na laki ili upate nini boss?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhh uzidishe na laki ili upate nini boss?
Ungekuwa na akili ungesema ni 280,000 Tshs. na sio ulivyosema laki 280 000 Tsh.Ukizoea kupokea mshahara hizi hesabu huwezi kuzijua
Ungekuwa na akili ungesema ni 280,000 Tshs. na sio ulivyosema laki 280 000 Tsh.
JING.A KABISA WEWE!
Biashara za faida 2OO huwa sitakagi hata kuzisikia. Minimum faida iwe buku per unit. Bora mtaji uwe mkubwa ila nitengeneze 1OOO au zaidi kwa kila bidhaa nayouza.Mtaji kiduchu
Eee ulijimix mwenyeweKosa langu ni kukata risit halali
Umemwambia sahihiObviously wewe ni wale wanaochukua mali kauli kwa matajiri wanaouzia store huku ukitoa receipts halali na bahati mbaya ukitengeneza faida ndogo.
Ukweli mchungu umewafaidisha wao hao magwiji wa biashara huku wewe ukijipiga pin,nenda zungumza nao hao TRA kisha ujifunze kufanya biashara kwa akili
[emoji23][emoji23]Mimi kila mwaka navuka mil 100 mbali sana na sitoi risit mpk kwa mbinde [emoji23][emoji23] nachofanya kila mwaka duka lita tin mpya nishakusanya vitambulisho vya ndg kijijin karobia vyote kila mwaka nasajir tin mpya ikivuka 100 mwaka unaofata na mpya
Ile tin yangu nimeiweka kwenye biashara nyingine ndogo
Nina duka la hardwareMkuu samahani unauza product gani? Nina mtaji 20+M nataka nifanye business mkoani,
Kuanzia milioni 100 kwa mwaka VAT ni lazima, ila mkuu hongera kwa mauzo hayo na kwa mtaji ulionao unaupiga mwingi!
EFD unapaswa kuitumia kwa akili sio kila unapouza unakata risiti mapema sana wanakuingiza kwenye VATNdo maana wanataka watu wawe na efd maana itawakamatisha tu
Mbona kuna VFD bei rahisiNa mashine zao sasa ni bei mbaya....walitakiwa wapunguze bei ili kila raia awe nayo
MuongoMimi kila mwaka navuka mil 100 mbali sana na sitoi risit mpk kwa mbinde [emoji23][emoji23] nachofanya kila mwaka duka lita tin mpya nishakusanya vitambulisho vya ndg kijijin karobia vyote kila mwaka nasajir tin mpya ikivuka 100 mwaka unaofata na mpya
Ile tin yangu nimeiweka kwenye biashara nyingine ndogo
Mi nilikuwa natoa risiti nahakikisha haizidi 5mil kwa mweziEFD unapaswa kuitumia kwa akili sio kila unapouza unakata risiti mapema sana wanakuingiza kwenye VAT
VAT hulipi wewe, analipa atakayekuja kununua huduma/bidhaa... changamoto ni itakubidi uongeze bei ya bidhaa ili uweke hiyo 18%Ndio mkuu
Lkn faida unakuta 10000 au 12000
Usisahau unakusanya bila malipo na ww kuna gharama unaingia za kukusanya na kutuma ripoti. Ukichelewa tu kutuma hiyo faini hutaamini.Kwani shida iko wapi kwani unapocalculate vat unakua hujajua faida yako nachojua VAT analipa mnunuaji we muuzaji unaisaidia TRA kuikusanya
Boss ni kuwa makini:Mi nilikuwa natoa risiti nahakikisha haizidi 5mil kwa mwezi
Na risiti zinatolewa kwa Makampuni pekee, binafsi hupewi
Nina duka la hardware