TRA wanavyomjaribu Rais Samia Suluhu

Mtakuwa mnabadilisha Wakuu mpaka kiama, Utitiri wa Kodi kubwa na Matozo yasioisha

Ujumbe wako watausoma..mbona miaka nenda rudi.. hautaki kukubali kwamba mimi sipo huko.. ni mwananchi wa kawaida tu!!!
 
Ifike mahala tuseme tuu mwendazake alikuwa anakusanya kodi za vilio na laana ndo maana ndege zimeendeshwa kwa hasara kubwa mno,
 
TRA staff wanatumia gmail account? no wonder Tz hatuna maendeleo kumbe inaweza isiwe serikali bali umbumbu wa wananchi, hivi mnadhani e-mail pekee inaweza kuwa evidence kushawishi kuwa mtu ana onewa?
 
Bila kubomoa mfumo wa uendeshaji ofisini na idara za umma kazi itakuwa ngumu. Tatizo kubwa sana kwa baadhi ya wafanyakazi wa umma ni kugeuza ofisi za umma kuwa sehemu ya vitega uchumi vyao!

Mfano, TRA inabidi kuwa na mentality ya kutoa huduma kwa wafanyabiashara na wa wekezaji badala ya kuwa kero! Ofisi za umma ni lazima ziwe na viongozi wenye corporate mindset zaidi ya hapo nchi hii hatawaletea wananchi wake maendeleo yanayotarajiwa.
 
TRA staff wanatumia gmail account? no wonder Tz hatuna maendeleo kumbe inaweza isiwe serikali bali umbumbu wa wananchi, hivi mnadhani e-mail pekee inaweza kuwa evidence kushawishi kuwa mtu ana onewa?
Uwe muelewa basi hiyo e mail haitoki kwa staff wa TRA ila maelezo ndani yake yanamhusisha staff wa TRA kutoka ofisi ya Mwenge aliye m harass huyo mfanyabiashara
 
Mkuu weka na tueleze 9b madhara yake ni yapi? at the first place- kabla wewe hujaingia na huo u consultant wako mtu kisha kufa kwa pressure. Ndivyo watu wanafanya kazi hivi kweli? na nyie ndio mnao wacgulia TRA rushwa kutoka kwa wateja wenu mkiwa watu wa kati.
 
Ishu za kusikiliza hoja za upande mmoja ni upumbavu. Subiri waje TRA watoe na ya upande wao.
TRA ni TAASISI MADHUBUTI NA MUHIMU SANA.
wanajibu nini kwa mfano?
 
Kuna Wageni wengi sana nchini wana operate biashara zao Kinyemela na udanganyifu mwingi wanavyokua Exposed na Sheria zetu ndiyo wanaanza kulia lia. TRA kazeni
 
Kuna Wageni wengi sana nchini wana operate biashara zao Kinyemela na udanganyifu mwingi wanavyokua Exposed na Sheria zetu ndiyo wanaanza kulia lia. TRA kazeni
ma wenyeji kama Don wenu Mbowe?
 
TRA, TIC, BRELA, Halmashauri na taasisi zingine zinazohusika na utoaji wa vibali na usimamizi ni shida kubwa sanaa
Mbona wakati wa Mwendakazikwa ulikuwa ukikata viuno kuwa umeingia Uchumi wa katikati ya makaratasi
 
Mbona wakati wa Mwendakuzikwa ulikuwa ukikata viuno kuwa umeingia Uchumi wa katikati ya makaratasi

Acha kisran buana, hii issue tuliijadili sana mwaka jana na mwaka juzi hapahapa Jf
Uwe unajiridhisha kabla hujaongea mambo ya uongo kuhusu mtu au viti maana uongo unakuvunjia heshma
 
Acha kisran buana, hii issue tuliijadili sana mwaka jana na mwaka juzi hapahapa Jf
Uwe unajiridhisha kabla hujaongea mambo ya uongo kuhusu mtu au viti maana uongo unakuvunjia heshma
Hivi ni wewe ndie mama D wa mwaka jana?
 
Hivi ni wewe ndie mama D wa mwaka jana?
Ndie huyo huyo
Wewe ndio hunijui au umejisahau kama ilivyo kawaida yenu

Apumzike kwa amani shujaa JPM, rais wa karne
 
Ndie huyo huyo
Wewe ndio hunijui au umejisahau kama ilivyo kawaida yenu

Apumzike kwa amani shujaa JPM, rais wa karne
Haya bana anyway hongera nimekuona kwenye sekretariet iliyolala kwenye kaburi jana
 
Kwani TRA hawawezi kuweka namba za malalamiko? waweke hata na za watu wasiojulikana ili malalamiko yawe yanafanyiwa uchunguzi....
 
TRA Mwenge wametembeza barua nyingi sana kwa jina la audit. Watu wanapigwa hela ndefu kimya kimya. Yaani ni balaa. Unaletewa 400M muamze maongezi, mwisho wa siku mtu anafika 50m mtu anatia mfukoni maisha yanaendelea
Watumishi wengi wa taasisi za serikali ni janga... nisinukuliwe vibaya sijamaanisha wote ila wengi wao WATU WANATENGENEZA AJIRA MAAFISA WA UMMA WANAZIBOMOA!! Katika haya matukio hata WIZARA ZA FEDHA, MAMBO YA NDANI BILA KUSAHAU WIZARA YA KAZI NAZO ZIJITATHMINI....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…