TRA wanavyomjaribu Rais Samia Suluhu

Kesho nikitulia itabidi nilete baadhi ya mambo yanayonitatiza ili unipe msaada mkuu.
 
TRA, ni kati ya taasisi ambazo ni adui wa maendeleo ya Tanzania na watanzania.

Ifikie wakati, intelligent people waende wakafanye kazi TRA.
Intelligence kwa tz ni kuvizia wapinzani wa kisiasa tu, kuacha mambo ya interest kwa taifa. So sad
 
Mh. Mbunge Wa Kitaa kwanza nikushukuru kwa maoni yako mazuri. Lakini pili, wewe kama member wa JF, ambalo ni Jukwaa huru, huhitaji ridhaa ama ruhusa ya watu humu ili kuleta mada ama kuzungumza jambo hasa ambalo unaona lina tija kwa watu. Kuna watu wanaongea na kupost upupu mtupu majukwaani, sasa kwa nn uwe wa kujiuliza kuwa uandike kuhusu hiyo changamoto ya TRA ama la? Lete vitu bro, ili iwe pia ni sadaka yako ya ukombozi wa Wajasiliamali na wafanya biashara wanaoumizwa na TRA. Mimi pia nimeshawahi pigwa kodi hadi nikakonda aisee. Jamaa walipiga kufuri na utepe biashara yangu. Nikapambana nikawalipa ndipo ikafunguliwa. Kiufupi zaidi ya 70 ya faida za biashara nyingi zinachukuliwa kama kodi. Inasikitisha sn.
 
Toa elimu, kwani kuweka Uzi mpaka upewe kibali?
 
TRA IVUNJWE, TUANZE UPYA. KUWEPO KITENGO MAHSUSI CHA VETTING NA KIAPO KIKALI CHA MAADILI KWA WATAKAO QUALIFY NA WAFANYE KWA RENEWABLE CONTRACTS. TRANSPARENCY IN OPERATIONS - OFISI ZOTE ZIWE NA PARTITIONS ZA VIOO NA KUWEPO TEAM YA KUSIKILIZA RUFAA ZA KODI NA IKIGINDULIKA MTEJA KABANBIKIWA KODI WAHUSIKA WAFURUSHWE ON THE SPOT!
 
Hii ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa kupitiliza. Mtu analığa kodi, na hiyo kodi nayo sasa mnaenda kuipoteza. Hawa watu siwaelewi kabisa. So sad.

Huu mchezo wa kulazimisha na kubambika kodi bado wanayo.

View attachment 1790810
Bila Kubadilisha sheria zinazowapa TRA kukadiria kodi wanavyotaka, kuondoa sheria zinazowapa officer wa TRA kinga ya kutoshitakiwa pale wanapobambikia watu kodi na kuweka kila kitu online na hakuna
Wewe unaishi dunia nyingine na umesoma kwenye vipeperushi unalete porojo hapa, Hio kampuni ina wahasibu, wansheria na maodita, na wamefanya hayo yote, rejea sheria za kodi zinasemaje ndio utajua wafanyakazi wa TRA wanazitumiaje hizo sheria kubambikia watu kodi, sheria zilizoko practical zinazuia kufanya biashara ni suluhisho ni kuzibadilisha.
 
Ni sawa tataizo laweza kuwa ni uelewa wa kutokujua sheria za kodi sasa ndio tra wakubambikie? huo ni uonezi, unajua si wote wanaoweza kuweka tax consultant biashara zenyewe ni ndogo utamlipa kiasi gani? yaani sheria ziwe friendly na hesabu watu watalipa tu,ila kwa hali ilipo sasa ni mzigo mzito sana, tutafunga tu.SSH ana hitaji msaada sana kwenye hii taasisi.
 
tushakuruhusu weka uzi
 
TRA Mwenge wametembeza barua nyingi sana kwa jina la audit. Watu wanapigwa hela ndefu kimya kimya. Yaani ni balaa. Unaletewa 400M muamze maongezi, mwisho wa siku mtu anafika 50m mtu anatia mfukoni maisha yanaendelea
Ndio tunakusanya bila shurti mama kasema 😂
 
TRA, ni kati ya taasisi ambazo ni adui wa maendeleo ya Tanzania na watanzania.

Ifikie wakati, intelligent people waende wakafanye kazi TRA.
Usisahau kubwa la maadui BOT
 
Hii ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa kupitiliza. Mtu analığa kodi, na hiyo kodi nayo sasa mnaenda kuipoteza. Hawa watu siwaelewi kabisa. So sad.

Huu mchezo wa kulazimisha na kubambika kodi bado wanayo.

View attachment 1790810
Ingekuwa China, huyo mhusika wa TRA ananyongwa siku hiyo hiyo. Wanaharibu sana uchumi wa nchi hao watu
 
Nchii hii kuendelea mpaka Mungu aamue
Siyo nchi hii tu. Po pote palipo na mtu mweusi mambo ni yale yale: ubinafsi wa kutisha, ufisadi wa kinyama, roho mbaya iliyopindukia, kuoneana, kutojali, uvivu na utopolo wa kila aina. Kuna tatizo mahali na mtu mweusi - si Afrika, si visiwa vya Caribbean, si Haiti, si.....Inakera !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…