Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #21
Hela anayolipa mpangaji haitoki kwa mwenye nyumba na wala hajui kiasi kilicholipwa.Sasa kama mpangaji analipa kwa niaba ya mwenye nyumba, itakuwaje tena mpangaji afidiwe na mwenye nyumba wakati hela alizolipa TRA ni za mwenye nyumba?