TRA wapangaji hatuhitaji maelezo ya kirafiki kuhusu KODI YA ZUIO, hizo namba zenu za simu zitumieni wenyewe

Sasa kama mpangaji analipa kwa niaba ya mwenye nyumba, itakuwaje tena mpangaji afidiwe na mwenye nyumba wakati hela alizolipa TRA ni za mwenye nyumba?
Hela anayolipa mpangaji haitoki kwa mwenye nyumba na wala hajui kiasi kilicholipwa.
 
Kweli walipe wenye nyumba.Mbona miaka ya nyuma kulikuwa na fomu za kulipa kodi ya jengo hata ofc za mitaa,tra how now?Isijekuwa sekta husika inakwepa majukumu yake.
 
Ni kweli lakini, mpokea simu hana mamlaka yoyote...
 
elimu inahitajika sana..na maelezo toshelezi maana wanaumia watu sana
 
elimu inahitajika sana..na maelezo toshelezi maana wanaumia watu sana
Elimu tayari tunayo ila haiingii kichwani mimi nilipe kisha nimdai mwenye nyumba eti anirudishie pesa niliyolazimishwa kulipa! Mbona TRA wanatuma madai ya kodi za majengo sasa iweje washindwe kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…